-
Baraza la Uongozi la Sudan lasisitiza kuwa liko tayari kushirikiana na UN
Dec 01, 2025 06:55Mkuu wa Baraza Kuu la Mpito la Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, amesema kuwa serikali yake iko tayari kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika kuunga mkono juhudi za kibinadamu, maendeleo na jitihada za kijamii za nchi hiyo.
-
Katika mazungumzo na Fidan, Rais wa Iran aziasa nchi za Kiislamu zisahilishe badala ya kutatiza mambo
Dec 01, 2025 03:01Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hali hasasi na nyeti iliyopo hivi sasa katika Ulimwengu wa Kiislamu na kueleza kwamba: "wakati maadui wa pamoja wa mataifa ya Kiislamu wanatafuta njia za kuzidisha mashinikizo, ingetarajiwa nchi za Kiislamu zirahisishiane hali na mazingira na kujiepusha na utatizaji wa mambo".
-
SIPRI: Kushamiri kwa vita kumeyapatia faida ya kupindukia makampuni makuu ya uundaji silaha
Dec 01, 2025 03:01Takwimu mpya zilizotolewa kwenye ripoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI) zinaoneysha kuwa, mapato yanayotokana na mauzo ya silaha na huduma za kijeshi ya makampuni 100 makubwa zaidi ya uundaji silaha duniani yalifikia rekodi ya dola bilioni 679 mwaka 2024.
-
Kampeni ya 'Komboa Mateka Wapalestina' walioko kwenye magereza ya Israel yazidi kupamba moto
Dec 01, 2025 02:15Maelfu ya waandamanaji jana Jumamosi walimiminika kwenye eneo la katikati mwa mji mkuu wa Uingereza, London katika maandamano ambayo ni sehemu ya kampeni ya "Komboa Mateka Wapalestina", wakitaka kuachiliwa huru Wapalestina zaidi ya 9,100 wanaoshikiliwa katika magereza ya kutisha ya utawala wa kizayuni wa Israel, wakiwemo zaidi ya wanawake na watoto 450.
-
Wabeba silaha wateka nyara watu wengine 14 Nigeria, yumo bibi harusi na kitoto kichanga
Dec 01, 2025 02:14Washambuliaji wenye silaha wamewateka nyara wanawake 13 na mtoto mchanga katika hujuma mpya ya uvamizi uliofanywa usiku wa kuamkia jana Jumapili kaskazini mashariki mwa Nigeria, ukiwa ni mwendelezo wa matukio ya hivi karibuni ya utekaji nyara mkubwa unaoshuhudiwa katika taifa hilo la Afrika Magharibi.
-
Maelfu ya Waisrael wafurika kwenye ubalozi wa Ureno Tel Aviv kuomba uraia wa nchi hiyo
Dec 01, 2025 02:14Tovuti ya gazeti la kizayuni la Times of Israel imeripoti kuwa, maelfu ya Waisrael wamepanga foleni ndefu mbele ya ubalozi wa Ureno mjini Tel Aviv kwa lengo la kuomba uraia wa nchi hiyo.
-
Rais wa Afrika Kusini amtuhumu Trump kwa kutoa 'kauli zisizo za kweli' kuhusu nchi yake
Nov 30, 2025 23:37Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini jana alimtuhumu Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuendelea kutoa "taarifa zisizo za kweli" kuhusu nchi yake.
-
Uvumbuzi wa Bioteknolojia Iran: Manyoya ya kuku kuwa lishe ya mifugo
Nov 30, 2025 23:20Iran imezindua uvumbuzi wa kisayansi unaoweza kubadilisha tasnia ya mifugo na kuku, kuimarisha usalama wa chakula wa ndani na kupunguza utegemezi wa uagizaji wa chakula cha mifugo kutoka nje.
-
Kituo kipya cha Treni cha Maria Mtakatifu chafunguliwa Tehran
Nov 30, 2025 23:19Halmashauri ya Jiji la Tehran imezindua rasmi kituo kipya cha metro (treni ya chini ya ardhi) kinachoitwa Maryam-e Moqaddas , yaani Maria Mtakatifu , kama ishara ya kuonyesha maelewano na kuishi kwa amani baina ya dini mbalimbali nchini humo.
-
ICC kupokea malalamiko dhidi ya viongozi wa FIFA na UEFA wanaohusika na uhalifu wa vita wa Israel
Nov 30, 2025 23:18Wachezaji wa kandanda wa Kipalestina, vilabu na mashirika ya kimataifa wanapanga kuwasilisha malalamiko katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya wakuu wa mashirikisho ya kandanda duniani, FIFA na UEFA, kwa msingi kuwa wamehusika katika kusaidia uhalifu wa vita na mfumo wa ubaguzi wa rangi wa utawala haramu wa Israel.