-
Ripoti: Wayahudi huwatemea mate watalii Wakristo wanaotembelea Quds (Jerusalem)
Nov 30, 2025 23:17Ripoti mpya imeibua taswira ya matukio ya unyanyasaji na mashambulizi unaotekelezwa na Wayahudi dhidi ya wageni Wakristo wanaotembelea Mji wa Kale wa al-Quds (Jerusalem).
-
Changamoto za Umoja wa Ulaya katika kuchangisha fedha kwa ajili ya Ukraine
Nov 30, 2025 23:16Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nzito katika kuzishawishi nchi wanachama zikubali kuchangia fedha za kuendelea kuiunga mkono Ukraine kwenye vita vyao na Russia.
-
UN yalaani sera ya Israel ya mateso ya kupangwa dhidi ya Wapalestina
Nov 30, 2025 09:12Kamati ya Umoja wa Mataifa dhidi ya Mateso (CAT) imeulaani utawala wa Israel kwa kutekeleza sera ya "mateso ya kupangwa" dhidi ya Wapalestina.
-
Qalibaf: Hatua ya Australia dhidi ya Iran haitaweza kuzuia ushawishi wa IRGC
Nov 30, 2025 09:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amelaani vikali hatua ya serikali ya Australia ya kuliweka katika orodha nyeusi Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akibainisha kuwa hatua hiyo haitaweza kuzuia ushawishi wa IRGC.
-
Ushahidi wa kwanza: Gesi ya klorini imetumika katika vita vya ndani Sudan
Nov 30, 2025 08:57Uchunguzi wa timu ya FRANCE 24 Observers unaonyesha namna gesi ya klorini ilivyotumika kama silaha katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea nchini Sudan.
-
Biashara ya nje ya Iran yapindukia dola bilioni 76.5 kuanzia Machi hadi Novemba
Nov 30, 2025 08:45Biashara ya nje ya Iran katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu kwa mujibu wa kalenda ya Iran ya Hijria Shamsia yaani (Kuanzia Machi 21, 2025 hadi Novemba 21 mwaka huu) imefikia tani milioni 131.054, yenye thamani ya dola bilioni 76.537.
-
Venezuela: Tunathamini uungaji mkono madhubuti wa Iran dhidi ya vitisho vya Marekani
Nov 30, 2025 08:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema nchi yake inathamini kwa dhati uungaji mkono wa Iran kwa nchi hiyo ya Amerika ya Latini mkabala wa vitisho vya kijeshi na mashinikizo ya Marekani.
-
Changamoto mbili zinazoutesa utawala wa Kizayuni baada ya vita vya siku 12 dhidi ya Iran
Nov 30, 2025 06:19Katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa, tovuti ya Middle East Eye imefanya uchunguzi kuhusu changamoto zinazoikabili Tel Aviv baada ya vita vya kivamizi na kichokozi vya siku 12 ilivyovianzisha dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Barua ya Pezeshkian kwa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina
Nov 30, 2025 04:12Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina ya tarehe 29 Novemba, Rais wa Iran ametangaza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inalichukulia suluhu pekee la kikanuni la kadhia ya Palestina kuwa ni kukomesha uvamizi wa kupangwa wa ardhi ya kihistoria ya watu wa Palestina, kurejea wakimbizi wa Kipalestina, na kutekeleza haki yao ya kujitawala.
-
Marais wa Rwanda na DRC kutia saini makubaliano ya amani
Nov 30, 2025 04:11Marais Felix Tshisekedi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wiki ijayo wanatarajiwa kutia kusaini makubaliano ya mwisho yanayolenga kufikia amani ya kudumu mashariki mwa Congo.