-
Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa uvamizi wa Israel dhidi ya Palestina
Nov 30, 2025 04:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukomeshwa kuikalia kwa mabavu Palestina na kulaani ukiukwaji mkubwa wa haki za Wapalestina katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
Rais wa Pakistan: Israel lazima iwajibike kwa uhalifu wa kivita Gaza
Nov 30, 2025 04:09Rais wa Pakistan Asif Ali Zardari ametoa pongezi kwa wananchi wa Palestina katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina akisema: "Juhudi na ujasiri wenu usio wa kuchoka umeunda sura mpya katika historia."
-
Venezuela: Onyo la Donald Trump ni 'tishio la kikoloni'
Nov 30, 2025 04:09Serikali ya Venezuela imemshutumu Rais wa Marekani Donald Trump kwa kutoa "tishio la ukoloni" baada ya kusema anga kuzunguka nchi hiyo inapaswa kuchukuliwa kuwa imefungwa.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Mshikamano, Iran yasema: Palestina ni jeraha kubwa zaidi linaloungulisha dhamiri ya wanadamu
Nov 29, 2025 23:49Kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Watu wa Palestina, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitizia tena uungaji mkono usioyumba wa Jamhuri ya Kiislamu kwa wananchi madhulumu wa Palestina, ikiielezea hali yao kama "jeraha kubwa zaidi linaloungulisha dhamiri ya wanadamu."
-
Foleni za watu wenye njaa huko Ghaza zimezidi kuwa ndefu + Picha
Nov 29, 2025 23:06Licha ya kusitishwa mapigano huko Ghaza, lakini bado mateso ya njaa na ukosefu wa usalama na utulivu wa nafsi yanaendelea kuzisumbua familia za Wapalestina. Foleni ndefu za watu wenye njaa wanaosubiri kupata angalau mlo mmoja kwa siku zinaendelea kuonekana katika pembe mbalimbali za ukanda huo huku jeshi katili la Israeli likiendeleza mashambulizi ya mara kwa mara na kuzuia kuwafikia misaada wananchi hao wasio na ulinzi.
-
Spika wa bunge la Libya atoa mwito wa kufanyika uchaguzi wa haraka wa rais
Nov 29, 2025 23:06Spika wa Bunge la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi hiyo ametoa mwito kwa Tume Kuu ya Uchaguzi kutekeleza mara moja sheria ya kuitisha haraka uchaguzi wa rais wa moja kwa moja.
-
Israel: Hatuna mpango kabisa wa kuondoka kusini mwa Syria
Nov 29, 2025 23:05Jeshi la Israel limejigamba kuwa halina mpango kabisa wa kuondoka kwenye ardhi ulizozivamia na kuzikalia kwa mabavu huko Syria licha ya wanajeshi wake sita kujeruhiwa wakati wananchi wa Syria walipoamua kupambana na Wazayuni hao maghasibu.
-
Ukraine yashambuliia meli mbili za mafuta za Russia Bahari Nyeusi
Nov 29, 2025 23:05Ripoti mbalimbali za vyombo vya habari zimesema kuwa, mashambulio ya Ijuuma dhidi ya meli mbili za mafuta za Russia katika Bahari Nyeusi yamefanywa na shirika la kijasusi la Ukraine na jeshi la wanamaji la nchi hiyo.
-
Sababu za Marekani kuitambua harakati ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni tishio la kigaidi
Nov 29, 2025 23:03Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya utendaji dhidi ya Ikhwanul Muslimin (Muslim Brotherhood), na kuyaweka baadhi ya matawi ya kundi hilo la Kiislamu katika orodha ya "mashirika ya kigeni ya kigaidi".
-
Mkuu wa Jeshi: Iran iko tayari kutoa jibu kali kwa vitisho vya popote pale
Nov 29, 2025 09:43Kamanda Mkuu wa Jeshi amesema, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeshajiweka tayari kikamilifu kutoa jibu kali kwa tishio lolote dhidi ya maslahi yake ya taifa, na kusisitiza kwamba mkakati wa ulinzi wa Iran umejengwa juu ya msingi wa kuzuia hujuma.