-
Waliofariki kwa mafuriko Indonesia wapindukia 300, kimbunga Ditwah kimeshaua 123 Sri Linka
Nov 29, 2025 09:43Shirika la Taifa la Usimamizi wa Maafa la Indonesia BNPB limetangaza leo kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokea wiki hii sasa imefikia 248, huku zaidi ya watu 100 wakiwa hawajulikani walipo, baada ya waokoaji katika wilaya ya Agam ya Sumatra Magharibi kupata miili zaidi.
-
Hizbullah: Tutaamua 'wakati na mahala' pa kutolea jibu la mauaji ya Tabatabai yaliyofanywa na Israel
Nov 29, 2025 07:45Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya nchini Lebanon ya Hizbullah amesema, harakati hiyo ina haki ya kutoa jibu kwa shambulio la kigaidi lililofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel lililomuua Kamanda wake mwandamizi Haytham Ali Tabatabai, na akaongeza kuwa Hizbullah yenyewe itaamua wakati na mahali pa kutolea jibu hilo.
-
Amnesty International: Israel inaendelea kufanya mauaji ya kimbari Ghaza
Nov 29, 2025 07:44Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, utawala wa kizayuni wa Israel "unaendelea bila kusita kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina huko Ghaza, licha ya usitishaji mapigano" ulioanza kutekelezwa tarehe 10 Oktoba.
-
US yakiri kuwa Yemen ni tishio katika ulinzi wa anga baada ya F-16 kuvurumishiwa makombora
Nov 29, 2025 07:41Jeshi la Anga la Marekani limekiri kuwa ndege zake za kivita aina ya F-16 ziliandamwa na mashambulizi makali ya mitambo ya ulinzi wa anga ya Yemen wakati ndege hizo zilipokiuka anga ya nchi hiyo.
-
Kwa nini Mamlaka ya Ndani ya Palestina imezidi kuwatia nguvuni watu kwa malengo ya kisiasa?
Nov 29, 2025 05:52Hatua ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuzidisha kasi ya kuwatia mbaroni watu kwa malengo ya kisiasa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imekabiliwa na upinzani na wasiwasi wa Wapalestina kuhusiana na matokeo mabaya ya hatua hiyo.
-
Bunge la Ulaya lakosolewa kwa kuingilia mambo ya Tanzania
Nov 29, 2025 04:02Ulaya imekosolewa kwa “kujipa haki ya kujadili kila kinachotokea Afrika,” mfano wa karibuni ukiwa ukosoaji wa Bunge la Ulaya kuhusu uchaguzi nchini Tanzania.
-
Mapigano yaibuka mashariki mwa DRC, wakimbizi waongezeka
Nov 29, 2025 03:56Mapigano mapya kati ya waasi wa M23 na jeshi la amhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, likisaidiwa na wanamgambo wanaojulikana kamma Wazalendo, yamesababisha wakazi wengi kuyahama makazi yao katika maeneo kadhaa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Umoja wa Afrika wasimamisha uanachama wa Guinea-Bissau kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Nov 29, 2025 03:52Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kuizuia mara moja Guinea-Bissau kushiriki katika shughuli zake zote hadi utaratibu wa kikatiba utakaporejeshwa nchini.
-
Uvamizi wa kijeshi wa Israel nchini Syria walaaniwa na Iran na nchi za Kiarabu
Nov 29, 2025 03:45Uvamizi wa nchi kavu na anga uliofanywa na jeshi la Israel katika mji wa Beit Jinn, kusini mwa Syria, ambapo watu wasiopungua 13, wakiwemo watoto, waliuawa umelaaniwa vikali na Iran pamoja na mataifa kadhaa ya Ghuba ya Uajemi.
-
Wanafunzi wa Iran wang'ara katika Mashindano ya Hisabati ya Marekani
Nov 29, 2025 03:40Wanafunzi wa Iran washinda dhahabu na fedha katika Mashindano ya Hisabati ya Marekani (AMO) ya mwaka huu wa 2025.