-
Sarajevo Safari: Kuwinda wanadamu kwa ajili ya kujifurahisha
Nov 29, 2025 01:17Karibuni kutupia jicho kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki kinachobeba kichwa cha maneno: 'Sarajevo Safari'. Ni kipindi kinachohusu mojawapo ya ukatili wa kutisha na usiozungumziwa sana wa vita vya Bosnia; Ni tukio maarufu la "Sarajevo Safari" ambapo matajiri wa kigeni wa nchi za Magharibi waliwapiga risasi watu raia wasio na ulinzi kutoka juu ya vilima vinavyozunguka jiji la Sarayevo kwa ajili ya burudani, kujifurahisha, na kupata msisimko, mkabala wa kutoa pesa.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran imejipanga kutoa majibu makali zaidi ikishambuliwa kijeshi
Nov 28, 2025 23:57Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo katika kiwango cha juu zaidi cha utayari wa kijeshi kuwahi kushuhudiwa, akisisitiza kuwa kila kitendo cha uhasama kitapokewa kwa majibu “makali na mazito kuliko wakati wowote uliopita.”
-
Adolf Hitler ashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa Namibia
Nov 28, 2025 23:56Mwanasiasa wa Namibia aliyepewa jina la dikteta wa zamani wa Ujerumani, Adolf Hitler, ametangazwa mshindi kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyoripotiwa Ijumaa.
-
Baraza la Waislamu Ufaransa latoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu ujasusi dhidi ya Waislamu kwa niaba ya Israel
Nov 28, 2025 23:54Baraza la Waislamu la Ufaransa limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu madai kwamba watu wawili walikusanya taarifa kuhusu Waislamu nchini Ufaransa na kuzikabidhi kwa shirika la ujasusi la Israel.
-
Rais wa Guinea-Bissau akimbilia Senegal baada ya mapinduzi ya kijeshi
Nov 28, 2025 23:53Rais wa Guinea-Bissau aliyeondolewa madarakani, Umaro Sissoco Embaló, amekimbilia nchi jirani ya Senegal baada ya jeshi kuchukua mamlaka kufuatia uchaguzi ulioibua utata, maafisa wamesema.
-
Iran yasusia droo ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia kukataliwa viza na Marekani
Nov 28, 2025 23:18Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (FFIRI) limetangaza kuwa halitohudhuria droo ya Kombe la Dunia FIFA 2026 wiki ijayo mjini Washington, baada ya Marekani kukataa kutoa viza kwa baadhi ya wajumbe wa msafara wao.
-
Kwa kupiga marufuku shughuli za kundi la 'Palestine Action', Uingereza ni mtetezi kweli wa uhuru wa kutoa maoni?
Nov 28, 2025 23:12Kundi linalolitetea taifa madhulumu la Palestina nchini Uingereza liitwalo 'Palestine Action' limesema, kupigwa marufuku uendeshaji wa shughuli zake na serikali ya London ni hatua ya kidikteta.
-
Iran yalaani jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Nov 28, 2025 08:15Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imelaani vikali jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mauaji na mateso ya wakaazi wa eneo hilo.
-
Maelfu ya wafanyakazi waandamana Ireland kulaani jinai za Israel
Nov 28, 2025 08:14Maelfu ya wafanyakazi wameandamana nchini Ireland kulaani kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina.
-
Kagame: Nina matumaini mazungumzo yangu na Tshisekedi yatakuwa chanya
Nov 28, 2025 08:13Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema ana matumaini kuwa, mazungumzo yaliyopangwa kufanyika Marekani kati yake na Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yataleta matokeo chanya.