-
Rais wa Iran: Marekani na Ulaya lazima zionyeshe “uaminifu wa dhati”
Nov 06, 2025 04:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ameitaka Marekani na nchi za Ulaya kuonesha uaminifu wa dhati endapo zinataka kurejesha imani na Iran.
-
Gharibabadi: Uhusiano imara wa Iran na Saudi Arabia utaleta manufaa makubwa
Nov 06, 2025 04:21Naibu waziri wa mambo ya nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kimataifa na kisheria, Kazem Gharibabadi, amesisitiza umuhimu wa kistratejia wa kurejeshwa kwa uhusiano na Saudi Arabia, akisema kuwa kuimarika kwa mahusiano ya kirafiki kati ya Tehran na Riyadh ni kwa faida za pande mbili na pia ni nguvu muhimu ya kuimarisha uthabiti wa eneo na amani ya kimataifa.
-
Hasira ya Israel Kufuatia Ushindi wa Mamdani kama Meya wa New York
Nov 06, 2025 04:17Mawaziri wa utawala katili wa Israel wameonyesha ghadhabu kufuatia kuchaguliwa kwa Zohran Mamdani kuwa meya wa jiji la New York nchini Marekani, wakimshambulia kwa tuhuma mbalimbali.
-
Trump Asema Afrika Kusini Haipaswi Kuwa Katika G20, Akataa Kuhudhuria Kikao cha Johannesburg
Nov 06, 2025 04:17Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Jumatano kuwa Afrika Kusini inapaswa kuondolewa kutoka kundi la G20, na kwamba hatahudhuria mkutano ujao wa kilele nchini humo.
-
Mashirika ya UN yaonya kuhusu ukatili dhidi ya raia wanaokimbia El Fasher, Sudan
Nov 06, 2025 04:15Mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yamesema Jumatano kuwa yana wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa za kuongezeka kwa ukatili na madhila dhidi ya raia wanaokimbia mji wa El Fasher, Sudan.
-
China: Tunaunga mkono haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani
Nov 06, 2025 02:42Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kuwa, Beijing inaunga mkono haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Kwa nini kilio cha machungu ya Wapalestina hakisikiwi na walimwengu?
Nov 06, 2025 00:34Hakuna usiku mtulivu huko Gaza, si kabla ya kusitishwa kwa mapigano au baada ya tangazo la amani na usiitishaji vita la Sharm el-Sheikh nchini Misri.
-
Araqchi: Iran iliilazimisha Marekani na Israel 'kusitisha mapigano bila masharti' badala ya 'kusalimu amri bila masharti'
Nov 06, 2025 00:34Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesifu kusimama kidete kwa nchi dhidi ya uvamizi wa hivi karibuni wa siku 12 wa Marekani na Israel, akisema kusimama kidete huko kulimlazimisha adui aliyetaka Iran ijisalimishe bila masharti, kuomba kusitishwa mapigano bila masharti.
-
Katibu Mkuu wa UN aonya: Kikosi kitakachotumwa Ghaza lazima kiwe na "uhalali kamili wa kimataifa"
Nov 05, 2025 23:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa kikosi chochote cha kurejesha uthabiti na utulivu kitakachopelekwa Ukanda wa Ghaza lazima kiwe na "uhalali kamili wa kimataifa" ili kuwasaidia Wapalestina wa eneo hilo.
-
Mashujaa wa Mau Mau Kenya waishtaki serikali wakitaka fidia ya shilingi bilioni 10
Nov 05, 2025 23:50Waliokuwa wapiganaji wa Mau Mau nchini Kenya kutoka Kaunti ya Meru wameishtaki Serikali, wakitaka iwalipe fidia ya shilingi bilioni 10 kwa vitendo vya ukiukaji wa haki walivyotendewa baada ya nchi hiyo kupata uhuru.