-
Iran: Baraza la Usalama halipaswi kukubali kudanganywa na kutumiwa vibaya
Oct 25, 2025 01:52Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Hati ya Umoja wa Mataifa imekumbana na mitihani mingi mizito kutokana na vitendo vya ukatili na kutumiwa vibaya kisiasa ya taasisi zake.
-
UN yapinga madai ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani kuhusu UNRWA
Oct 25, 2025 01:51Umoja wa Mataifa umepinga taarifa ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyedai kiuongo kwamba Shirika la Umoja wa Mataifa la Kusaidia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) lina uhusiano na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji misaada ya kibinadamu Sudan
Oct 25, 2025 01:50Sudan imekumbwa na moja ya mambo ya dharura mno ya kibinadamu duniani. Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada wa kibinadamu, ikiwa ni pamoja na zaidi ya watu milioni 9.6 wakimbizi wa ndani wakiwemo karibu watoto milioni 15.
-
Jeshi la Libya lenye makao yake mashariki lakomboa raia kadhaa wa Niger
Oct 25, 2025 01:49Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na Khalifa Haftar na ambalo linadhibiti eneo la mashariki mwa Libya, lilitangaza jana Ijumaa kwamba limefanikiwa kukomboa raia kadhaa wa Niger waliokuwa wametekwa nyara na kundi moja lenye silaha la Niger tangu miezi 16 iliyopita.
-
Malaysia yashuhudia maandamano makubwa dhidi ya Israel na Marekani
Oct 24, 2025 23:37Maandamano makubwa yamefanyika nchini Malaysia kuunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani himaya ya Marekani kwa Israel na jinai za utawala huo ghasibu katika Ukanda wa Gaza.
-
Waziri wa Israel awatusi Wasaudia: Endeleeni kupanda ngamia
Oct 24, 2025 23:01Waziri wa fedha wa utawala wa kizayuni wa Israel katika taarifa yake ya dharau kuhusu Saudi Arabia, amesema kwamba hatakubali makubaliano ya kuuanzisha uhusiano wa kawaida na Riyadh ikiwa kutakuwa na sharti la kuundwa dola huru la Palestina.
-
Waangalizi wa uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wapelekwa Tanzania
Oct 24, 2025 23:00Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamepelekwa nchini Tanzania kwa ajili ya kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika Jumatano ijayo Oktoba 29.
-
Oxfam: Zaidi ya watu milioni 21 wanahitaji msaada DRC
Oct 24, 2025 23:00Shirika la kimataifa la Oxfam limetangaza kuwa, zaidi ya watu milioni 21 wanahitaji msaada wa kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, hii ikiwa idadi ya karibu humusi moja ya watu.
-
WHO: Vivuko vyote vya Ukanda wa Gaza lazima vifunguliwe tena
Oct 24, 2025 22:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limeelezea wasiwasi wake juu ya kutotumika kwa vituo vingi vya matibabu katika Ukanda wa Gaza, na kutoa mwito wa kufunguliwa tena kwa vivuko vyote kwenye Ukanda huo.
-
Usitishaji vita wa kulegalega; kwa nini hatuwezi kuwa na matumaini kuhusu mustakabali wa amani Gaza?
Oct 24, 2025 08:00Hatua ya utawala wa kizayuni wa Israel ya kutofungamana na usitishaji vita wa Gaza na kuendelea kuwaua watu wa ukanda huo mdogo kumeuacha mustakabali wa amani katika eneo hilo katika hali tete na isiyoeleweka.