-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran: Trump ni mlea magaidi
Oct 24, 2025 06:41Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ni gaidi, na iwapo dunia inataka kumtambua gaidi halisi, basi mtu huyo si mwingine bali ni Trump mwenyewe.
-
Rais Ruto asema miswada aliyosaini siku ya kifo cha Raila inalinda watoto
Oct 24, 2025 06:40Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea hatua yake ya kusaini miswada minane kuwa sheria mnamo Oktoba 15, 2025—siku hiyo hiyo ambayo taifa lilipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga.
-
Afisa wa UN aitaka Israel kutii uamuzi wa ICJ kuhusu msaada kwa Gaza
Oct 24, 2025 06:39Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, ameitaka Israel kutekeleza kwa haraka uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), akisisitiza wajibu wa utawala huo chini ya sheria za kimataifa kuhakikisha misaada muhimu inafika Gaza na maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu
-
Ali Larijani:Mashinikizo ya kiuchumi hayawezi kuvunja irada imara ya Iran
Oct 24, 2025 06:38Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani, amesisitiza kuwa mashinikizo la kiuchumi kutoka mataifa ya Magharibi hayawezi kuathiri uthabiti wa taifa.
-
China na Russia zalaani vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya sekta ya nishati Russia
Oct 24, 2025 06:36Russia imelaani vikali vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya makampuni yake makubwa ya mafuta, ikionya kuwa hatua hizo za Washington zinaweza kuisukuma dunia kuelekea hali ya kutokuwa na utulivu.
-
Carbonnier: Afrika inasumbuliwa na migogoro 50 ya silaha, ikiwakilisha 40% ya migogoro ya kimataifa
Oct 24, 2025 04:16Gilles Carbonnier, Makamu wa Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC), ameelezea masikitiko yake kuhusu uwepo wa zaidi ya migogoro 50 inayoendelea barani Afrika, ikiwakilisha takriban 40% ya migogoro ya silaha duniani.
-
Iran yalaani muswada wa Knesset ya Israel wa kunyakuliwa Ukingo wa Magharibi
Oct 24, 2025 04:16Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali muswada uliopasishwa katika Bunge la Israel (Knesset) wa kunyang'anywa eneo la Ukingo wa Magharibi huko Palestina ukiutaja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa hati na kanuni za Umoja wa Mataifa.
-
Humanity and Inclusion: Kuondoa mada za milipuko Ukanda wa Gaza kutachukua miaka 30
Oct 24, 2025 04:15Afisa wa taasisi ya Humanity and Inclusion amesema kazi ya kukusanya silaha ambazo hazijalipuka katika Ukanda wa Gaza inaweza kuchukua kipindi cha miaka 20 hadi 30, akilitaja eneo hilo kama "uwanja wazi wa mabomu."
-
Baraza la Utawala Sudan: Hakuna mazungumzo na RSF huko Washington
Oct 24, 2025 04:14Baraza la utawala wa Mpito la Sudan limekanusha madai ya kuwepo mazungumzo yoyote ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko Washington, kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari.
-
Makumi ya waasi wauawa katika mashambulizi ya jeshi mashariki mwa Nigeria
Oct 24, 2025 04:14Jeshi la Nigeria limetangaza kwamba limewaua wanamgambo 50 waliokuwa wakiendesha shughuli zao katika makundi yenye msimamo mkali ambao walikuwa wametumia ndege zisizo na rubani kufanya mashambulizi kadhaa kwenye kambi za kijeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.