-
Korea Kaskazini yarusha makombora ya balestiki wiki moja kabla ya mkutano nchini Korea Kusini
Oct 22, 2025 23:05Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi kuelekea Bahari ya Japan kwenye pwani ya mashariki ya nchi hiyo.
-
Makumi waaga dunia katika mlipuko wa lori la mafuta nchini Nigeria
Oct 22, 2025 23:03Makumi ya watu wameripotiwa kufariki dunia katika mlipuko wa lori la mafuta nchini Nigeria. Ripoti zinasema tukio hilo limetokea katika jimbo la kati la Niger nchini Nigeria baada ya gari hilo kuteleza kutoka barabarani na kuanguka, na kumwaga mafuta.
-
Unafiki wa Ulaya mkabala wa Gaza: Biashara na Israel au kuheshimu haki za binadamu?
Oct 22, 2025 22:59Umoja wa Ulaya utarejesha uhusiano wake wa kibiashara wa upendeleo na Israel hatua kwa hatua kwa kisingizio cha kutekelezwa usitishaji unaolegalega wa mapigano huko Gaza.
-
Malori ya misaada 986 tu kati ya 6,600 yameingia Gaza tangu kufikiwa makubaliano ya kusitisha vita
Oct 22, 2025 09:39Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali ya Gaza imeripoti kuwa ni malori 986 pekee ya misaada yaliyoingia katika eneo hilo linalozingirwa tangu kusitishwa kwa mapigano kati ya Harakati ya Mapambano ya Palestina (Hamas) na utawala wa Israel tarehe 10 mwezi huu.
-
Larijani aishukuru Russia kwa kuiunga mkono Tehran katika Baraza la Usalama
Oct 22, 2025 09:34Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amewasilisha kwa Russia shukrani za Jamhuri ya Kiislamu kutokana na hatua ya Moscow ya kuunga mkono msimamo wa haki za Tehran katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mkabala wa hatua ya nchi za Magharibi ya kurejeshea hatua kali za kiuchumi dhidii ya Iran.
-
Watu 46 wamefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani Uganda
Oct 22, 2025 09:27Polisi ya Uganda imeripoti kuwa watu 46 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili katika barabara kuu ya Kampala kuelekea Gulu nchini humo mapema leo Jumatano.
-
Iran yaidhinisha rasmi kujiunga na mkataba wa kupambana na ufadhili wa ugaidi
Oct 22, 2025 09:23Rais Masoud Pezeshkian amewasilisha rasmi sheria ya kujiunga Iran na Mkataba wa Kimataifa wa Kupambanana Ufadhili wa Ugaidi (CFT).
-
Japan yapinga mashinikizo ya Marekani ya kuacha kununua nishati kutoka Russia
Oct 22, 2025 09:18Yoji Muto, Waziri wa Biashara wa Japan amepinga vikali mashinikizo makubwa ya Marekani dhidi ya nchi hiyo. Marekani inaitaka Japan iache kununua nishati kutoka Russia. Tokyo, kwa upande wake, inasema kuwa itachukua maamuzi kwa mujibu wa maslahi yake ya kitaifa.
-
Utaratibu Mpya wa Kiuchumi wa Kikanda; Nafasi ya kimkakati ya Iran katika Ushirikiano na Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia
Oct 22, 2025 09:11Mkutano wa Nne wa Kistratijia wa "Iran na Eurasia; Biashara, Diplomasia na Utaratibu Mpya wa Kikanda," umefanyika leo katika Kituo cha Mikutano cha Shirika la Utangazaji la Sauti na Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Tehran.
-
Iran yagundua maficho ya televisheni ya Israel inayoeneza uadui dhidi yake
Oct 22, 2025 02:47Operesheni ya kiintelijensia ya Iran iliyofanyika kwa mafanikio, imefichua waliko watu wanaohusika na shirika la kijasusi la Israel Mossad, ambao waliwatumikia maadui hasa Israel na Marekani wakati wa vita vya upashaji habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu Iran.