-
Deni la umma lailemea serikali ya Marekani, wachumi washikwa na wasiwasi
Oct 19, 2025 23:05Deni la umma la Marekani limefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo, ambapo sasa deni hilo linatajwa kufika trilioni 37.9.
-
Wamisri wataka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani na Ukanda wa Gaza
Oct 19, 2025 23:02Huku msaada wa kibinadamu unaohitajika ukisalia kuwa haba huko Gaza, waanchi wa Misri wametaka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani cha Rafah kwa ajili ya kuingiza misaada neo la Ukanda wa Gaza.
-
Jan Eliasson: Kurudishwa vikwazo dhidi ya Iran ni hatua ya kurudi nyuma
Oct 19, 2025 07:55Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi amesisitiza kwamba Troika ya Ulaya imetokomeza uwezo wake wa kuwa na nafasi huru katika eneo la Asia Magharibi kwa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran.
-
Hamas yakanusha madai ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ya kukiuka usitishaji mapigano
Oct 19, 2025 07:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekanusha vikali madai yaliyomo katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwamba harakati hiyo imekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza.
-
Burhan: Jeshi la Sudan liko tayari kwa mazungumzo ili kurejesha umoja
Oct 19, 2025 07:53Jenerali Abdel-Fattah al Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kwa mazungumzo ya "kumaliza vita na kurejesha umoja na heshima ya nchi hiyo."
-
Pakistan na Afghanistan zafikia makubaliano ya kusitisha mapigano
Oct 19, 2025 07:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa Pakistan na Afghanistan zimekubaliana kusitisha mapigano mara moja katika mazungumzo yaliyofanyika Doha.
-
Chama tawala Zimbabwe chachukua hatua ya kurefusha muhula wa Rais Mnangagwa
Oct 19, 2025 07:48Chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kimesema kitaanzisha taratibu za kurefusha muhula wa Rais Emmerson Mnangagwa kwa miaka miwili zaidi, na hivyo kumfanya aendelee kukaa madarakani hadi 2030.
-
Trump abadilisha msimamo wa kutuma makombora ya Tomahawk kwenda Ukraine
Oct 19, 2025 04:39Rais Donald Trump wa Marekani amebadilisha ghafla msimamo wake wa kutuma makombora ya cruise ya Tomahawk kwenda Ukraine.
-
Iran yailaani Israel kwa kuendelea kuua wanawake na watoto Gaza
Oct 19, 2025 03:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amelaani ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala ghasibu wa Israel, likiwemo shambulio la hivi karibuni dhidi ya gari lililokuwa limebeba familia ya Kipalestina wakati ikirejea kwenye makazi yao.
-
China, Iran na Russia zathibitisha; Muda wa Azimio Nambari 2231 umemalizika
Oct 19, 2025 03:09Iran, China na Russia zimemwandikia barua ya pamoja Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kuthibitisha kumalizika muda wa Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kuhusu mpango wa amani wa nishati ya nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.