-
Katibu Mkuu wa UN: Mkataba kuhusu wakimbizi si wa kupuuzwa
Jul 29, 2026 02:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa wito kwa nchi zote wanachama kuhuisha dhamira yao ya kutekeleza Mkataba wa Wakimbizi wa mwaka 1951, akisema haki ya watu wanaokimbia mateso kutafuta hifadhi inazidi kutiliwa shaka, kuwekewa vikwazo au kunyimwa.
-
Licha ya ushahidi wa UN, serikali ya UK yakataa kutambua mauaji ya kimbari ya Ghaza
Jul 29, 2026 02:23Serikali mpya ya Uingereza imekataa wito uliotolewa wabunge 80 na wenzao wa kuyatambua mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza, kuuwekea utawala huo wa kizayuni vikwazo kamili vya silaha na kuanzisha vikwazo kamili dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Al-Burhan atembelea miji ya kimkakati ya Sudan iliyokombolewa kutoka kwa RSF
Jul 29, 2026 02:19Mwenyekiti wa Baraza la Mpito la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametembelea miji ya Umm Sayala na Jabrat al-Sheikh katika jimbo la Kordofan Kaskazini siku moja baada ya jeshi kuchukua udhibiti wa maeneo mawili kutoka kwa wapiganaji wa RSF.
-
Vikosi vya Ulinzi: Vitisho vya US dhidi ya meli za Iran havitaachwa bila ya jibu
Jul 28, 2026 14:12Kamandi Kuu ya operesheni za kijeshi ya Iran imeionya Marekani kwamba vitisho inavyotoa dhidi ya meli za Jamhuri ya Kiislamu za kibiashara na za mafuta havitaachwa bila ya jibu.
-
Mtaalamu wa kizayuni: Israel 'haina ubavu' wa kukabiliana na Iran kwa muda mrefu
Jul 28, 2026 14:05Mtaalamu maarufu wa Kizayuni amekosoa kuongezeka utegemezi wa utawala haramu wa Israel kwa Marekani, akisisitiza kwamba utawala wa Kizayuni hauna tena uhuru wa kimkakati uliokuwa nao zamani na hauwezi kuhimili makabiliano ya muda mrefu na Iran.
-
Watu wenye silaha waua raia wasiopungua 30 jimboni Kaduna, Nigeria
Jul 28, 2026 14:02Watu wasiopungua 30 wameuawa wakati genge la wenye silaha liliposhambulia kijiji kimoja katika jimbo la Kaduna kaskazini magharibi mwa Nigeria. Hayo yamethibitishwa na wakazi wawili wa kijiji hicho.
-
Watetezi wa Palestina wakusanyika nje ya White House kupinga safari ya Netanyahu
Jul 28, 2026 13:59Waandamanaji wanaoitetea na kuiunga mkono Palestina walikusanyika nje ya Ikulu ya White House jana Jumatatu kupinga ziara ya Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu huko Washington kabla ya mkutano wake aliopangiwa kufanya na Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Wabunge wa US waanza kuchunguza ufisadi kuhusu FIFA na uhusiano wa Infantino na Trump
Jul 28, 2026 13:56Mbunge mmoja nchini Marekani wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la nchi hiyo ametangaza kuanzishwa uchunguzi kuhusu shirikisho la soka duniani FIFA, akiongeza kuwa inawezekana kukawepo na uhusiano kati ya shirikisho hilo na serikali ya Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Wakati Trump Anapokiuka Hata Ahadi Alizotoa kwa Washirika wake wa Kikanda!
Jul 28, 2026 08:18Rais Donald Trump wa Marekani amekiuka ahadi yake ya awali kwa Saudi Arabia kwa kutangaza masharti mapya ya utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia kati ya nchi hizo mbili.
-
Jeshi la Iran laapa kutoa jibu kali zaidi dhidi ya uchokozi wowote siku zijazo
Jul 28, 2026 03:58Jeshi la Iran limeapa kutoa jibu kali na la nguvu zaidi dhidi ya uchokozi wa nchi yoyote katika siku zijazo.