-
Watu wenye silaha waua raia wasiopungua 30 jimboni Kaduna, Nigeria
Jul 28, 2026 14:02Watu wasiopungua 30 wameuawa wakati genge la wenye silaha liliposhambulia kijiji kimoja katika jimbo la Kaduna kaskazini magharibi mwa Nigeria. Hayo yamethibitishwa na wakazi wawili wa kijiji hicho.
-
Watetezi wa Palestina wakusanyika nje ya White House kupinga safari ya Netanyahu
Jul 28, 2026 13:59Waandamanaji wanaoitetea na kuiunga mkono Palestina walikusanyika nje ya Ikulu ya White House jana Jumatatu kupinga ziara ya Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu huko Washington kabla ya mkutano wake aliopangiwa kufanya na Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Wabunge wa US waanza kuchunguza ufisadi kuhusu FIFA na uhusiano wa Infantino na Trump
Jul 28, 2026 13:56Mbunge mmoja nchini Marekani wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la nchi hiyo ametangaza kuanzishwa uchunguzi kuhusu shirikisho la soka duniani FIFA, akiongeza kuwa inawezekana kukawepo na uhusiano kati ya shirikisho hilo na serikali ya Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Wakati Trump Anapokiuka Hata Ahadi Alizotoa kwa Washirika wake wa Kikanda!
Jul 28, 2026 08:18Rais Donald Trump wa Marekani amekiuka ahadi yake ya awali kwa Saudi Arabia kwa kutangaza masharti mapya ya utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia kati ya nchi hizo mbili.
-
Jeshi la Iran laapa kutoa jibu kali zaidi dhidi ya uchokozi wowote siku zijazo
Jul 28, 2026 03:58Jeshi la Iran limeapa kutoa jibu kali na la nguvu zaidi dhidi ya uchokozi wa nchi yoyote katika siku zijazo.
-
Muqawama wa Kiislamu Iraq: Hatua yoyote ya kipumbavu ya Saudia itakabiliwa na jibu la haraka
Jul 28, 2026 03:55Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq imeuonya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia kwamba hatua yoyote ya kipumbavu itakayochukuliwa na Riyadh itakabiliwa na jibu kali litakaloulamisha kujutia maamuzi yake.
-
Chad kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, yasema inaziandama zaidi nchi za Afrika
Jul 28, 2026 03:52Chad imejiunga na orodha inayoongezeka ya nchi zilizoanza taratibu za kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ikisema inaziandama zaidi nchi za Afrika.
-
Putin: Maadui wa Russia wamejielekeza katika mbinu za wazi za kigaidi
Jul 28, 2026 03:50Rais wa Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa maadui wa nchi hiyo wameamua kutumia mbinu za wazi za kigaidi, na kwamba Moscow itatimiza malengo yake yote ya kijeshi katika vita vya Ukraine na iko tayari kutoa jibu kwa hatua yoyote ya uhasama.
-
Jeshi la Sudan ladai kudhibiti barabara kuu inayounganisha Khartoum na El-Obeid
Jul 28, 2026 03:47Jeshi la Sudan limetangaza kuwa limerejesha udhibiti kamili wa barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, na El-Obeid, mji ambao umekuwa ukizingirwa na kundi la wanamgambo Rapid Support Forces (RSF).
-
Baqaei: Hatua hatari za kukurupuka za Ukraine zitapewa majibu muwafaka
Jul 28, 2026 03:45Shambulio la Ukraine dhidi ya meli ya Iran lilikuwa kinyume cha sheria, limekiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na ni kitendo hatari cha kichokozi.