-
Wafungwa 11 wa kisiasa Tunisia wataka kuanzishwa kambi moja ya upinzani ili kurejesha uhuru
Jun 26, 2026 03:53Wafungwa kumi na mmoja wa Tunisia wameyataka makundi ya upinzani nchini humo "kuungana ili kurejesha uhuru na demokrasia" nchini humo.
-
Wamarekani: Waasisi wangekatishwa tamaa na hali ya sasa ya nchi
Jun 26, 2026 03:50Wamarekani wengi wamekatishwa tamaa na serikali yao, wakisema kwamba Waasisi wangesikitishwa sana na hali ya sasa ya kijamii na kisiasa ya Marekani.
-
Polisi yatumia mabomu ya machozi kudhibiti maandamano Kenya
Jun 26, 2026 02:39Polisi nchini Kenya jana walitumia mabomu ya kutoa machozi dhidi ya waandamanaji katika maeneo mbalimbali mjini Nairobi huku makundi yanayoongozwa na vijana yakifanya kumbukumbu ya miaka miwili tangu maandamano ya Gen Z.
-
Ashura; Shule ya Ufahamu na Uaminifu Iliyovuka Mipaka ya Historia
Jun 25, 2026 12:55Ashura; Shule ambayo iliunganika na damu tukufu na kupelekea watu waaminifu 72 kuuawa shahidi, na hivyo kuwa taa ya wongofu wa historia huku wakiwa wamechagua utukufu wa milele kwa ufahamu na mwamko kamili.
-
Rais Pezeshkian: Imam Hussein (a.s.) ametufundisha kusimama dhidi ya dhulma
Jun 25, 2026 10:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa, Imam Hussein (a.s.) ametufundisha kusimama dhidi ya dhulma, vishawishi vya madaraka, na tamaa ya maslahi binafsi.
-
Baghaei: NATO inapaswa kuwajibishwa kwa kushiriki katika vita dhidi ya Iran
Jun 25, 2026 09:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) na nchi wanachama wake, zikiwemo Italia na Romania, ambazo Katibu Mkuu wa NATO amekiri waziwazi nafasi yao katika kutekeleza mashambulizi haramu na ya kihalifu dhidi ya Iran, zinapaswa kuwajibishwa kwa aina yoyote ya ushirikiano katika uhalifu uliofanywa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.
-
Matetemeko makubwa ya ardhi yaikumba Venezuela, makumi waaaga dunia
Jun 25, 2026 09:47Matetemeko mawili makubwa ya ardhi yameikumba Venezuela siku ya Jumatano, na kusababisha uharibifu mkubwa katika mji mkuu Caracas na maeneo ya jirani.
-
Nembo na alama za Palestina zatawala katika mashindano ya Kombe la Dunia
Jun 25, 2026 09:32Mtandao wa Al Jazeera umeripoti uwepo mkubwa wa alama, nembo na bendera za Palestina katika mashindano ya Kombe la Dunia la Mpira wa Miguu 2026 yanayoendelea huko Marekani, Canada na Mexico.
-
Baraza la Seneti Zimbabwe larefusha muhula wa urais
Jun 25, 2026 09:19Baraza la Seneti nchini Zimbabwe limeidhinisha kwa wingi mkubwa wa kura marekebisho ya katiba yenye utata ambayo yatamfanya Rais Emmerson Mnangagwa kubakia madarakani hadi mwaka 2030.
-
Qalibaf: Mpangilio mpya wa Kiislamu uundwe baada ya Marekani na Israel kudhalilishwa katika vita dhidi ya Iran
Jun 25, 2026 04:27Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, ametoa wito kwa mataifa ya Asia Magharibi na ulimwengu wa Kiislamu kuanzisha mpangilio mpya wa kikanda unaotegemea uwezo, rasilimali na watu wa mataifa hayo, akisisitiza kwamba “chanzo cha misiba yote ni utawala wa Kizayuni.”