Ripoti
  • Maadhimisho ya Siku ya Ashura nchini Tanzania + Sauti

    Maadhimisho ya Siku ya Ashura nchini Tanzania + Sauti

    Sep 11, 2019 02:04

    Wakati Tanzania ikikaribia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wa dini mbalimbali wametakiwa kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie uchaguzi huo upite kwa salama na amani. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu wa Ammar Dachi...

  • Kamalvandi: Mashinepewa (centrifuges) za kisasa za nyuklia za Iran zaanza kufanya kazi + Video

    Kamalvandi: Mashinepewa (centrifuges) za kisasa za nyuklia za Iran zaanza kufanya kazi + Video

    Sep 07, 2019 08:28

    Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, awamu ya tatu ya kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA ilianza jana Ijumaa kwa amri ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Waziri Mkuu wa Uganda aitwa Bungeni kuhusu machafuko ya Afrika Kusini + Sauti

    Waziri Mkuu wa Uganda aitwa Bungeni kuhusu machafuko ya Afrika Kusini + Sauti

    Sep 07, 2019 04:24

    Bunge la Uganda limemwita Waziri Mkuu wa nchini hiyo Bw. Ruhakana Bungeni ili kutoa maelezo kuhusu hali ya raia wa nchi hiyo katika machafuko ya Afrika Kusini. Kigozi Ismail na maelezo zaidi...

  • Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Sep 07, 2019 04:19

    Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...

  • Malalamiko dhidi ya vitendo vya kikatili Afrika Kusini yafika hadi Kinshasa na Brazzaville + Sauti

    Malalamiko dhidi ya vitendo vya kikatili Afrika Kusini yafika hadi Kinshasa na Brazzaville + Sauti

    Sep 07, 2019 04:01

    Malalamiko ya kila namna yanaendelea kushuhudiwa katika nchi mbalimbali za Afrika kulalamikia vitendo visivya vya kibinadamu vinavyofanywa na makundi ya watu dhidi ya raia wa nchi za Afrika huko Afrika Kusini. Congo mbali, DRC na Congo Brazzaville, nako kumeshuhudiwa malalamiko ya kila namna. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...

  • Hotuba ya Waziri Mkuu wa DRC yazusha balaa bungeni + Sauti

    Hotuba ya Waziri Mkuu wa DRC yazusha balaa bungeni + Sauti

    Sep 05, 2019 11:34

    Hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Bungeni ya kuomba kupasishwa baraza lake la mawaziri ili lianze kufanya kazi, imezua suitafahamu si tu miongoni mwa wapinzani, lakini pia miongoni mwa wabunge wa mseto tawala nchini humo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi kutoka jijini Brazzaville…

  • Tanzania yaunga mkono juhudi za Afrika Kusini za kukomesha machafuko dhidi ya wageni + Sauti

    Tanzania yaunga mkono juhudi za Afrika Kusini za kukomesha machafuko dhidi ya wageni + Sauti

    Sep 05, 2019 11:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamaganda Kabudi, amesema kuwa serikali ya nchi hiyo ambayo hivi ni miongoni mwa nchi za SADC itakuwa bega kwa bega na serikali ya Afrika Kusini katika kuhakikisha machafuko yanayoendelea huko Afrika Kusini yanakomeshwa. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dr es Salaam...

  • Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti

    Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti

    Sep 02, 2019 05:10

    Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu kwa kukaa na kutathmini walichokifanya mwaka uliokwisha kwani kwisha kwa mwaka kuna maana ya kuzidi mwanadamu kuelekea kwenye siku yake ya kuondoka duniani. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Elimu bure DRC ni kitendawili + Sauti

    Elimu bure DRC ni kitendawili + Sauti

    Sep 02, 2019 05:05

    Tangazo la Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusu kutoa elimu bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na miaka miwili ya shule za upili limeibua suutafahamu miongoni mwa walimu na shule binafsi. Mossi Mwasi na maelezo zaidi kutoka jijini Brazzaville...