-
Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga
Jul 13, 2023 09:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyashambulia madola ya Maagharibi kutokana na hatua yao ya kutetea vitendo vichafu vya ushoga na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.
-
Iran na Kenya zaazimia kuimarisha ushirikiano katika sekta mbali mbali
Jul 12, 2023 10:48Marais William Ruto wa Kenya na Ebrahim Raisi wa Iran wamesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika sekta mbali mbali. Hayo yamebainika katika hotuba za marais hao leo mjini Nairobi baada ya mazungumzo.
-
Video: Rais Raisi apokewa rasmi na Rais William Ruto wa Kenya katika ziara ya kuzitembelea Kenya, Uganda na Zimbabwe
Jul 12, 2023 04:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo alfajiri amewasili jijini Nairobi na kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Naibu Mufti wa Uganda: Qur'ani ni muujiza mkubwa wa Uislamu
Jul 10, 2023 02:44Naibu Mufti na ambye pia ni mjumbe wa Baraza Kuu la Waislamu la Uganda amelaani kuchomwa moto Qur'ani Tukufu huko Sweden na kuitaja hujuma hiyo kuwa ni kitendo cha kinyama cha uchochezi dhidi ya dini yenye wafuasi zaidi ya bilioni mbili.
-
Iran yajitosheleza kikamilifu katika sekta ya uchimbaji mafuta na gesi
Jul 06, 2023 11:01Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu sasa inajitosheleza kikamilifu katika sekta ya uchimbaji mafuta na gesi, baharini na katika nchi kavu.
-
Machafuko yapamba moto Ufaransa, sasa serikali yatumia ndege zisizo na rubani + Video
Jul 03, 2023 07:05Machafuko yasiyodhibitika yamepamba moto katika nchi ya Ulaya ya Ufaransa na sasa jeshi la polisi la nchi hiyo limeamua kutumia droni yaani ndege zisizo na rubani dhidi ya waandamanaji wenye hasira.
-
Mchambuzi wa Kiafrika apongeza kuimarika diplomasia ya Iran
Jun 25, 2023 11:48Mchambuzi wa masuala ya kimataifa raia wa Nigeria amesema kuwa, Iran imepata mafanikio makubwa katika nyanja za teknolojia, sayansi, ulinzi na ustawi wa uchumi.
-
Waandamanaji wakusanyika mbele ya Kituo cha Kiislamu London kupinga sera za chuki dhidi ya Uislamu
Jun 24, 2023 10:24Makundi ya Waislamu na watetezi wa haki za binadamu yameendelea kujumuika mbele ya Kituo cha Kiislamu cha Uingereza (Islamic Centre of England) mjini London kupinga sera zinazopiga vita Uislamu za serikali ya Uingereza.
-
Balozi wa Uganda nchini Iran: Uganda inatoa ardhi bure kwa wakulima wa Iran
Jun 21, 2023 12:15Balozi wa Uganda nchini hapa amesema kuwa kwa kuzingatia uwezo na maendeleo ya kiviwanda ya mkoa wa Kati wa Iran; Uganda ina hamu ya kushirikiana kiuchumi na mkoa huo.
-
Takriban watu 150 wafariki dunia baada ya boti kuzama nchini Nigeria
Jun 17, 2023 08:18Takriban watu 150 wamepoteza maisha baada ya mashua waliyokuwa wamepanda kupinduka katika jimbo la Kwara, magharibi mwa Nigeria.