-
Kanani:Lengo la safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Amerika ya Latini ni kukuza uhusiano wa kiuchumi
Jun 13, 2023 04:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Lengo la safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Amerika ya Latini ni kukuza kiwango cha uhusiano wa kiuchumi.
-
AU yaonya kuhusu matokeo mabaya ya kuendelea mapigano Sudan
Jun 12, 2023 11:56Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ameonya juu ya matokeo mabaya ya kuendelea vita na mapigano nchini Sudan. Mapigano hayo ni baina ya jeshi la Sudan linaloongozwa na Abdel Fattah al Burhan, na vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) chini ya uongozi wa Muhammad Hamdan Daghalo Kamanda.
-
SEPAH: Silaha za Iran ni silaha za kumsambaratisha adui + Video
Jun 06, 2023 10:01Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na shirika la habari la Iran Press wakati wa uzinduzi wa kombora la Hypersonic lililopewa jina la 'Fattah' kwamba, silaha za Iran ni za kumsambaratisha adui.
-
Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu + Video
May 31, 2023 09:02Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Ja'fari mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya amesema: Fikra za Imam Ruhullah Khomeini zinatia matumaini mema na ni nguzo ya kuwawezesha na kuwapa nguvu Waislamu duniani.
-
Ndege ya abiria iliyoundwa Iran yafanyiwa majaribio kwa mafanikio + Video
May 31, 2023 03:47Ndege ya abiria na mizigo ya iliyopewa jina la Simorgh imeundwa kikamilifu na wataalamu wa Shirika la Viwanda vya Anga la Wizara ya Ulinzi ya Iran na imefanyiwa majaribio ya kuruka kwa mafanikio makubwa.
-
Putin:Sera za Magharibi zimesababisha ukosefu wa amani duniani
May 24, 2023 10:50Rais wa Russia ameeleza kuwa katika hali ambayo Wamagharibi wanalenga kuzidisha hali ya wasiwasi na ukosefu wa usalama duniani; nchi huru kuanzia Asia hadi Afrika zinapaswa kusaidia katika usanifu usiogawanyika wa usalama duniani.
-
Raisi: Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Indonesia yatafanyika kwa kutumia sarafu za taifa
May 23, 2023 13:33Rais Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Indonesia zimeamua kufanya mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu zao za taifa.
-
Mali nyingi za Waislamu zateketezwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Kaduna, Nigeria + Video
May 23, 2023 01:55Mkuu wa Mkoa wa Kaduna nchini Nigeria ametoa amri ya kuteketezwa mali za umma na binafsi Waislamu wa mkoa huo.
-
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia + Video
May 19, 2023 02:25Rais Bashar al Assad wa Syria usiku wa kuamkia leo Ijumaa amewasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ikiwa ni ziara ya kwanza ya kutembelea nchi hiyo tangu Syria ilipotumbukizwa kwenye mgogoro wa uvamizi wa magenge ya kigaidi.
-
Putin asema: Wamagharibi wanataka kuigawa Russia
May 09, 2023 10:42Rais wa Russia ametangaza kwamba ustaarabu wa dunia unakabiliwa na mabadiliko makubwa, na kwamba lengo la Magharibi katika kueneza propaganda chafu dhidi ya Russia ni kuigawa nchi hiyo.