-
Njaa, utapiamlo vyaua Wapalestina 86 katika Ukanda wa Gaza
Jul 20, 2025 11:40Wizara ya Afya ya Gaza imesema athari hasi za mzingiro wa kibaguzi wa Israel dhidi ya ukanda huo zimesababisha makumi ya Wapalestina kuaga dunia.
-
UNRWA: Israel inawatesa raia kwa njaa Ghaza, wakiwemo watoto milioni moja
Jul 20, 2025 09:45Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) kwa mara nyingine tena limeushutumu utawala wa kizayuni wa Israel kwa kutumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya raia Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Maandamano makubwa kupinga jinai za Israel huko Gaza yafanyika Sweden
Jul 20, 2025 04:28Wauungaji mkono wa Palestina wameandamana Stockholm, mji mkuu wa Sweden kupinga mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel dhidi ya shule na hospitali za Ukanda wa Gaza.
-
Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni akiri kutengwa Israel duniani
Jul 20, 2025 04:27Avigdor Lieberman waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel na serikali inayoongozwa na Netanyahu zimetengwa kimataifa.
-
Hamas: Askari zaidi wa Israel watauawa iwapo mauaji ya kimbari yataendelea Gaza
Jul 19, 2025 10:06Msemaji wa Kijeshi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, ameionya Israel kuwa itapoteza wanajeshi zaidi iwapo vita dhidi ya Gaza vitaendelea.
-
Syria na Israel zafikia makubaliano tete ya usitishaji vita
Jul 19, 2025 03:15Rais wa mpito wa Syria na waziri mkuu wa Israel wamekubaliana kusitisha mapigano kufuatia makabiliano ya umwagaji damu ya siku kadhaa katika Jimbo la Suweida, lililoko kusini mwa Syria.
-
Afisa wa Syria aonya: Yumkini Israel imetuvamia ili kumpindua al-Sharaa
Jul 19, 2025 02:48Afisa mmoja wa Syria amesema Israel imeishambulia Syria kwa kisingizio cha kuwalinda wafuasi wa jamii ya Druze walio wachache huko Suwayda, lakini nia ya hasa ni kupindua serikali ya Syria inayoongozwa na Rais wa mpito, Ahmed al-Sharaa.
-
Kiongozi wa kidini wa Wadruze: Hatutaki 'himaya' ya Israel
Jul 19, 2025 01:24Kiongozi wa kiroho wa kabila la wachache la Druze nchini Lebanon amesema jamii hiyo inapinga ombi la utawala wa Israel la "kuwalinda" walio wachache.
-
Hizbullah: Israel ilitaka kuisambaratisha Iran, lakini Tehran ikaibuka mshindi
Jul 19, 2025 01:16Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Israel ulikuwa ukitaka kuendeleza ajenda yake ya uharibifu dhidi ya Iran wakati wa vita vyake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu mwezi uliopita, lakini Tehran iliweza kuushinda utawala huo ghasibu.
-
Malaki ya Wayemen waandamana tena kutangaza mshikamano na Wagaza
Jul 18, 2025 12:28Mamia ya maelfu ya Watu huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen, walikusanyika jana Ijumaa katika maandamano ya kutangaza mshikamano wao na Wapalestina huko Gaza na kulaani uchokozi wa jeshi la Israel huko Gaza na Yemen.