-
Ni bekari 4 tu zimebakia Ghaza kuhudumia watu milioni 2.4
May 24, 2025 22:53Huku Ukanda wa Ghaza ukiwa chini ya mzingiro mkali na mgogoro mkubwa wa njaa, ni bekari chache tu zimebakia zinazoweza kuzalisha mikate kwa ajili ya kuhudumia watu milioni mbili na laki nne wa ukanda huo.
-
Kwa nini mauaji ya kimbari yangali yanaendelea licha ya uungaji mkono wa kimataifa kwa Gaza?
May 24, 2025 02:56Nchi 80 zimetangaza kupitia taarifa kwamba: 'Ukanda wa Gaza unakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu tangu Oktoba 7, 2023, na raia wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa. Jinai na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni yangali yanaendelea huko Gaza.'
-
HAMAS: Ukanda wa Gaza unakabiliwa na hali mbaya kabisa ya mgogoro wa kibinadamu
May 23, 2025 23:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza katika taarifa yake kwamba, Ukanda wa Gaza unakabiliwa na hali mbaya kabisa ya mgogoro wa kibinadamu.
-
Hamas yapongeza mataifa 80 kwa kulaani jinai za Israel huko Gaza
May 23, 2025 08:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekaribisha kwa mikono miwili taarifa ya pamoja iliyotolewa na nchi 80 duniani, zikisisitiza kwamba Gaza inakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu tangu kuanza kwa vita vya Israel Oktoba 7 mwaka 2023.
-
Pigo kwa wanajeshi vamizi wa Israel mashariki mwa Khan Yunis
May 23, 2025 02:56Wanamapambano wa kambi ya Muqawama wa Kiislamu huko Khan Yunis katika Ukanda wa Ghaza, wameendelea kuwatia hasa wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni. Wanajeshi zaidi wa Israel wanaendelea kuripukiwa na mabomu na kupigwa risasi na vifaa vyao vya kijeshi kushambuliwa na wamamapambano wa Palestina.
-
Houthi aonya juu ya kutokea janga kubwa zaidi ikiwa Waislamu watashindwa kuizuia Israel
May 22, 2025 23:30Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen ameyasuta mataifa ya Kiislamu kwa kukaa kimya na kutochukua hatua za kukabiliana na ukatili wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Makumi ya wabunge duniani waitaka Israel ikome kuwaadhibu kwa kiu na njaa Wapalestina
May 22, 2025 23:29Makumi ya wabunge kote duniani wametoa taarifa wakitaka hatua za haraka zichukuliwe kukomesha njaa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Amnesty International yataka mataifa ya Ulaya yaisusie kikamilifu Israel
May 22, 2025 09:21Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa wito wa kususiwa kabisa utawala wa Kizayuni wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya bara Ulayaa yanachukua hatua za kuutenga utawala huo kutokana na jinai zake huko Gaza.
-
Kombora jingine la Yemen lapiga Tel Aviv mapema leo Alkhamisi
May 22, 2025 02:37Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeripoti mapema leo Alkhamisi kwamba sauti za ving'ora vya tahadhari zimehinikiza katika maeneo mbalimbali ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, kufuatia kombora lililorushwa kutoka Yemen ili kupiga maeneo muhimu mno ya Israel.
-
Araqchi: Iran itaendelea kurutubisha urani, kwa makubaliano au bila makubaliano
May 21, 2025 22:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa, Tehran bado haijaamua kama itashiriki katika duru ijayo ya mazungumzo ya nyuklia au la.