-
Nini kinajiri hivi sasa huko Syria?
Mar 10, 2025 07:46Miezi mitatu baada ya kuanguka utawala wa Bashar al-Assad, Syria inashuhudia duru mpya ya vurugu na mivutano kati ya serikali ya mpito inayotawala nchi hiyo na makundi upinzani katika maeneo mbalimbali nchini humo.
-
UN yatoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini Syria
Mar 10, 2025 03:29Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameonya katika taarifa yake kuhusu ghasia za hivi karibuni magharibi mwa Syria na kutoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini humo.
-
Smotrich: Tunatayarisha mpango wa kuwatimua Wapalestina kutoka Gaza
Mar 10, 2025 03:06Waziri wa Fedha wa mrengo wa kulia wa Israel, Bezalel Smotrich, alifichua jana Jumapili kwamba maandalizi yanaendelea ya kuanzisha idara katika Wizara ya Ulinzi ili kuwatimua Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza.
-
Wakazi wengi wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu wanataka Netanyahu ajiuzulu
Mar 09, 2025 22:58Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni yanaonesha kuwa, Wazayuni walio wengi wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) wanasema kuwa Netanyahu anapaswa kujiuzulu na kukubali kubeba jukumu la kushindwa mkabala wa oparesheni ya wanamapambano wa Palestina ya tarehe 7 Oktoba mwaka 2023.
-
Mufti wa Oman asisitiza kuunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa Gaza
Mar 09, 2025 07:54Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote na watu wanaopenda uhuru duniani kusaidia watu wanaodhulumiwa wa Gaza wanaoishi katika hali mbaya.
-
Indhari ya UN ya kutokea maafa ya kibinadamu Ukingo wa Magharibi kutokana na hujuma za Jeshi la Israel
Mar 09, 2025 06:09Kufuatia kuendelea hujuma za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imetoa indhari kupitia taarifa yake kwamba uvamizi na hujuma za jeshi hilo katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi zina madhara na maafa makubwa ya kibinadamu.
-
Yemen yatishia kuifungia tena Israel Bahari Nyekundu
Mar 09, 2025 03:17Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limeonya kuwa litarejea kwenye operesheni zake za kijeshi za majini za kuifungia Israel Bahari Nyekundu (Bahari ya Sham) kama Tel Aviv itashindwa kuheshimu muda iliopewa wa kukomesha mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Mkutano wa Jeddah; licha ya kukamilisha lakini ni zaidi ya mkutano wa Cairo
Mar 08, 2025 23:05Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano wa dharura wa mawaziri wa Mambo ya Nje na Wakuu wa Nchi za Kiarabu huko Cairo, Misri kunaonyesha ushirikiano wa pamoja wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na mpango wa kuwafukuza kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza na wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Zaidi ya wanawake 12,000 wa Kipalestina wameuawa katika vita vya Gaza
Mar 08, 2025 09:24Idara ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Wanawake 12,316 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Sasa Trump ameelewa, HAMAS haimuogopi
Mar 08, 2025 07:51Mchambuzi mmoja mashuhuri wa ulimwengu wa Kiarabu amesema: "Kulazimika Donald Trump kuomba kufanya mazungumzo ni matokeo ya kufeli na kukata tamaa serikali yake katika njama zake za kuilazimisha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS itii amri zake.