-
WHO: Mashambulizi ya Israel dhidi ya hospitali na wafanyakazi wa tiba huko Gaza yanapasa kusitishwa
Jan 05, 2025 04:17Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesisitiza ulazima wa kusitishwa mashambulizi ya Israel dhidi ya hospitali na wafanyakazi wa sekta ya afya na tiba katika Ukanda wa Gaza.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kuuliwa wanajeshi wake zaidi ya 800 na kujiuwa wengine 28
Jan 05, 2025 04:09Ikiwa imepita siku 456 tangu Israel ianzishe vita dhidi ya Gaza, utawala huo umekiri kuhusu baadhi ya maafa na vipigo ulivyopata tangu kutekelezwa Oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa na wanamuqawama wa Palestina.
-
Takribani Wapalestina 46,000 wameuawa shahidi na jeshi la Israel tangu Oktoba 2023
Jan 05, 2025 00:06Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu kuanza hujuma kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni huko Gaza (Oktoba 7, 2023) inaelezwa kuwa imekaribia watu 46,000.
-
Sababu za Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina kufuata muelekeo sawa na wa utawala wa Kizayuni dhidi ya HAMAS
Jan 05, 2025 00:02Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeendelea kufuata muelekeo sawa na wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa kutoa amri ya kufungwa Chaneli ya Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar huko Ramallah.
-
Marekani kuiuzia Israel silaha za dola biloni 8 kuendeleza mauaji ya kimbari Gaza
Jan 04, 2025 09:31Utawala wa Marekani unaomaliza muda wake unapanga kuuza silaha kuiuzia Israel silaha zenye thamani ya dola bilioni 8 huku utawala huo ghasibu ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Malengo ya Marekani ya kuongeza harakati za kijeshi kwenye mpaka wa Iraq na Syria
Jan 04, 2025 09:07Vyanzo vya Iraq vimeripoti kuhusu kuweko harakati kubwa za kijeshi za Wamarekani kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria na muendelezo wa uhamishaji wa vifaa na zana za kijeshi kwenye vituo vyao huko Iraq.
-
Brigedi za al Qassam zasambaratisha vifaru vinne vya merkava vya Israel
Jan 04, 2025 04:19Brigedi za al Qassam zimetangaza mapema leo kuwa zimevisambaratisha vifaru vinne vya merkava vya utawala wa Israel katika oparesheni iliyofanyika mashariki mwa mji wa Jabalia. Brigedi za al Qassam zimevisambaratisha vifaru hivyo kwa kutumia mada za milipuko.
-
Taarifa ya Hizbullah ya Iraq katika kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Kamanda Soleimani na al Muhandis
Jan 04, 2025 04:15Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kupambana na ubeberu wa dunia katika kumbukumbu ya kuuawa shahidi makamanda mashahidi wa muqawama Luteni jenerali Qassim Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Mufti wa Oman atoa mwito wa kuungwa mkono mashujaa wa Yemen
Jan 03, 2025 23:26Mufti Mkuu wa Oman amewataka watu wenye mwamko na waungwana wa Yemen na mataifa yote huru duniani kuwahami na kuwaunga mkono mashujaa wa Yemen ambao wamesimama imara kwenye njia ya haki ya kupambana na madhalimu.
-
Jeshi la Lebanon lapambana na magaidi wenye silaha katika mpaka wake na Syria
Jan 03, 2025 23:25Jeshi la Lebanon limetangaza habari ya kutokea mapigano kati yake na genge la magaidi wenye silaha kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria.