-
Jeshi la Lebanon lapambana na magaidi wenye silaha katika mpaka wake na Syria
Jan 03, 2025 23:25Jeshi la Lebanon limetangaza habari ya kutokea mapigano kati yake na genge la magaidi wenye silaha kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria.
-
Hashd al-Sha'abi ya Iraq yapongeza uungaji mkono wa Iran katika vita dhidi ya Daesh
Jan 03, 2025 08:37Mkuu wa kundi la Hashd al Sha'abi la Iraq amesema kuwa ushindi dhidi ya ugaidi umetokana ni imani isiyotetereka ya makamanda waliouawa, ambayo ni lazima wailinde na kusisitiza kuwa ushindi huu ulitokana na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hasa mchango wa shahidi Luteni Jenerali Haj Qassim Soleimani.
-
Kombora la Yemen lashambulia kambi ya kijeshi ya Wazayuni katika mji wa Ramallah
Jan 03, 2025 08:36Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa komboralililovurumishwa kutoka Yemen limeipiga kambi ya kijeshi ya Israel huko Ramallah, katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza
Jan 03, 2025 08:34Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa upuuaji wa waziwazi' haki ya haki ya kiafya huko Gaza baada ya utawala wa Kizayuni wiki iliyopita kuishambulia Hospitali ya Kamal Adwan katika eneo hilo na kumtia nguvuni kihilela na kumuweka kizuizini Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dakta Hussam Abu Safiya.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Shahidi Soleimani alizuia njama za Marekani katika eneo la Asia Magharibi
Jan 03, 2025 04:09Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen ametoa heshima kwa kamanda mkuu wa zamani wa kupambana na ugaidi wa Iran, shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, akisema alikuwa na nafasi ya kipekee katika kuwaunga mkono watu wa Palestina na muqawama wao.
-
Wairani wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 5 ya kuuawa shahidi Jenerali Soleimani
Jan 03, 2025 04:06Leo Ijumaa katika mji aliozaliwa na eneo la kaburi la Jenerali Soleimani, kumeshuhudiwa mafuriko ya maashiqi na wapenzi wa kamanda huyo mashuhuri huku kukiwa na baridi kali na theluji wakati huu wa kumbukumbu ya miaka mitano ya kuuawa kwake shahidi.
-
Operesheni za Mhimili wa Muqawama dhidi ya utawala ghasibu wa Israel
Jan 03, 2025 04:04Huku kukiwa na vita vya mauaji ya kimbari ya Israel yanayoungwa mkono na mataifa ya Magharibi hasa Marekani dhidi ya Gaza, ambayo yamesababisha vifo vya takriban Wapalestina 45,600 hadi sasa, makundi ya muqawama huko Palestina na katika eneo zima la Asia Magharibi yanaendelea na operesheni zao dhidi ya utawala wa Israel na waungaji mkono wake wa Magharibi.
-
Askari wengi wa Israel wanajiua kutokana na vita Gaza
Jan 03, 2025 04:01Jeshi la Israel limeripoti ongezeko kubwa la vifo vya kujiua miongoni mwa wanajeshi tangu kuanzishwa kwa kampeni ya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza uliozingirwa
-
Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani
Jan 03, 2025 00:16Viongozi wa nchi za Ulaya, wameendelea kuonyesha sura zao za kinafiki, kwa kukaa kimya kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza, huku wakikimbilia kutuma ujumbe wa rambirambi kutokana na hujuma ya gari iliyotokea Marekani.
-
Kundi la kutetea haki za Waislamu Marekani lataka kukomeshwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Jan 03, 2025 00:14Kundi la kutetea haki za Waislamu wa Marekani linasema, ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inayoelezea mashambulizi ya Israel dhidi ya mfumo wa afya wa Gaza ni ushahidi zaidi wa mauaji ya kimbari katika eneo hilo lililozingirwa la Palestina.