-
Msikiti wa Al Aqsa ulihujumiwa na walowezi wa Kizayuni mara 22 mwezi Desemba
Jan 02, 2025 11:26Katika mwezi uliopita wa Desemba, kulikuwa na hujuma 22 za walowezi wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa al-Quds (Jerusalem) Mashariki unaokaliwa kwa mabavu.
-
Israel yaua watoto Wapalestina katika hujuma ya hema lao mjini Khan Yunis
Jan 02, 2025 11:07Utawala haramu wa Israel umefanya mashambulizi mapya katika eneo la kusini la Ukanda wa Gaza la Khan Yunis, na kuua watu wasiopungua 11 huku utawala huo ukiendelea na hujuma dhidi ya ardhi ya Palestina.
-
Watoto wachanga wapatao 1,100 wameuliwa katika vita vya Israel dhidi ya Ghaza
Jan 02, 2025 03:19Watoto wachanga Wapalestina wapatao 1,100 wameuawa katika mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel tangu Oktoba 2023.
-
Sheikh Naim Qassem: Harakati ya Hizbullah imeimarisha uwezo wake
Jan 01, 2025 23:12Sheikh Naim Qassem, Katibu mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo imepata nafuu vizuri baada ya kuuawa kwa kiongozi wake wa zamani Sayyed Hassan Nasrallah katika shambulio la kigaidi la Israeli huko Beirut mnamo Septemba 27.
-
Jeshi la Yemen laangusha ndege nyingine ya kivita ya Marekani aina ya MQ-9
Jan 01, 2025 23:11Vikosi vya ulinzi wa anga vya Yemeni vimefanikiwa kudungua tena ndege nyingine ya kivita isiyo na rubani ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper wakati ilipokuwa ikifanya shughuli za uhasama katika anga la mkoa wa katikati-magharibi wa Ma'rib.
-
NGO: Israel inashikilia miili ya Wapalestina 198 waliouawa mwaka 2024
Jan 01, 2025 09:32Kampeni ya Kitaifa ya Kurejesha Miili ya Mashahidi (The National Campaign to Retrieve Martyrs' Bodies) imeeleza kuwa viongozi wa utawala ghasibu wa Israel wanashikilia miiili ya mashahidi wa Kipalestina 198 walisajiliwa mwaka jana wa 2024.
-
Utawala wa Kizayuni unaharibu mazingira kusini mwa Lebanon
Jan 01, 2025 08:57Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeanza kuharibu mazingira ya kusini mwa Lebanon kabla ya kumalizika muhula wa usitishaji vita kati ya utawala huo ghasibu na Lebanon.
-
Himaya ya wananchi katika Ulimwengu wa Kiislamu kwa muqawama wa Palestina
Jan 01, 2025 04:08Mwaka mpya wa Miladia wa 2025 umeanza katika ulimwengu wa Kiislamu kwa himaya na uungaji mkono mkubwa wa wananchi kwa makundi ya wapiganaji wa Palestina na viongozi wa muqawama.
-
Shahid Sinwar ndiye mtu maarufu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu mwaka 2024
Jan 01, 2025 03:12Wazungumzaji wa lugha ya Kiarabu ulimwenguni wamemchagua shahidi Yahya Sinwar, kiongozi wa kisiasa wa Hamas, kuwa mtu maarufu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu kwa mwaka 2024.
-
Ghaza yaanza Mwaka Mpya kwa kushambuliwa kikatili na Israel
Jan 01, 2025 03:09Katika dakika za awali kabisa za kuingia Mwaka Mpya wa 2025, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi mengine ya kinyama kwenye Ukanda wa Ghaza kutoka kaskazini hadi kusini mwa ukanda huo uliozingirwa kila upande.