-
Arab League, Hizbullah zakaribisha kuhuishwa uhusiano wa Iran, Saudia
Mar 12, 2023 07:06Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imekaribisha makubaliano ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa Iran na Saudi Arabia, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo.
-
Wapalestina wengine 3 wauawa shahidi Ukingo wa Magharibi
Mar 12, 2023 06:18Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameendeleza jinai zao za umwagaji damu kwa kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika mji wa Nablus katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Viongozi wa HAMAS: Tuko mstari wa mbele katika mapambano ya Ukingo wa Magharibi na Quds
Mar 11, 2023 23:09Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imefanya mkusanyiko huko Beit Lahya kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa ajili ya kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa, mateka wa Kipalestina na muqawama wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza mjini Baghdad
Mar 11, 2023 09:45Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu wenye lengo la kukuribisha pamoja mitazamo ya Kiislamu na kuimarisha umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu umeanza kazi zake huko Baghdad nchini Iraq kwa juhudi za Diwani ya Waqf wa Kisuni.
-
Makundi ya mapambano ya Palestina yakaribisha mapatano baina ya Iran na Saudia
Mar 11, 2023 07:07Makundi mbalimbali ya Wapalestina yamekaribisha makubaliano ya kurejesha tena uhusiano kati ya Tehran na Riyadh kwa kutoa taarifa tofauti.
-
Nasruallah: Eneo bila kuwepo Israel ni uhalisia utakaoshuhudiwa katika mustakabali
Mar 11, 2023 03:59Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, eneo bila kuwepo Israel si ndoto na matarajio tu bali ndio uhalisia utakashuhudiwa katika mustakabali.
-
Makubaliano ya kurejesha uhusiano wa pande mbili kati ya Iran na Saudi Arabia
Mar 10, 2023 09:14Iran na Saudi Arabia zimefikia makubaliano ya kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia na kufungua tena balozi, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo kutokana na masuala kadhaa.
-
Saudia yaiomba US iisaidie mpango wake wa nyuklia mkabala wa kuanzisha rasmi uhusiano na Israel
Mar 10, 2023 07:03Saudi Arabia imeiomba Marekani iisaidie katika mpango wake wa kurutubisha madini ya urani ili mkabala wake Riyadh itangaze rasmi kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la Wall Street linalochapishwa nchini Marekani.
-
Matamshi ya waziri wa Saudia, kuanzia kushindwa nchini Syria hadi hitilafu na Imarati
Mar 10, 2023 02:18Faisal bin Farhan Aal Saud, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amefanya mahojiano na televisheni ya al Arabia ya nchi hiyo na amekiri kwa njia isiyo ya moja kwa moja kuwa siasa za Riyadh zimefeli nchini Syria kama ambavyo amekiri kwamba kuna hitilafu baina ya Saudia na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria
Mar 09, 2023 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani wimbi la mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria, wakati huu ambapo taifa hilo linakabiliwa na matatizo chungu nzima kutoka na maafa makubwa ya matetemeko ya ardhi.