-
Majibu ya nchi 3 za Kiarabu kwa msimamo hatari wa waziri Mzayuni
Mar 04, 2023 03:48Nchi tatu za Kiarabu zimejibu matamshi hatari ya waziri Mzayuni kuhusu kuharibiwa kwa kijiji cha Wapalestina cha Hawwarah.
-
UN yalaani matamshi ya waziri wa Israel aliyetaka "kufutwa" kitongoji cha Huwara huko Palestina
Mar 03, 2023 23:26Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric, amelaani matamshi ya kibaguzi na kiichochoze yaliyotolewa na Waziri wa Fedha wa Israel akitaka kufutwa kabisa kitongoji cha Huwara cha Wapalestina katika uso wa dunia.
-
Ben Gvir atoa amri ya Wazayuni wenzake kupigwa risasi
Mar 03, 2023 23:19Itamar Ben Gvir, kiongozi wa chama cha Mayahudi wenye misimamo mikali ambaye pia ni Waziri wa Usalama wa Ndani katika baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu, tangu apewe nafasi hiyo amekuwa akiwapa silaha walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwachochea wawaue kiholela Wapalestina wasio na hatia.
-
Ukandamizaji mkubwa wa wapinzani watanda maeneo tofauti ya 'Israel'
Mar 03, 2023 06:40Wapinzani wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wamekandamizwa vikali na polisi wa Israel wakati wa maandamano yao makubwa ya leo Ijumaa.
-
UNICEF: Watoto milioni 3.7 walioathirika na zilzala Syria wana hali mbaya
Mar 03, 2023 04:15Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF amesema, watoto milioni 3.7 ambao walinusurika na matetemeko ya ardhi ya tarehe 6 Februari mwaka huu katika maeneo yaliyoathirika nchini Syria wanakabiliwa na ongezeko la vitisho kadhaa vya zahma kubwa.
-
Kuongezeka malumbano kati ya serikali ya Netanyahu yenye msimamo mikali na jeshi la Kizayuni
Mar 02, 2023 23:10Mamia ya maafisa wa kitengo cha kijasusi cha Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameonya kwamba hawatahudumu tena jeshini iwapo mpango wa kurekebisha sheria ya mahakama katika utawala huo utaidhinishwa.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel sio suluhisho la matatizo
Mar 02, 2023 08:57Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel sio suluhisho la matatizo na kuonyesha kusikitishwa kwake na hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kuanzisha uhusiano na uutawala huo ghasibu.
-
Kuibuka mifarakano miongoni mwa wanajeshi wa Kizayuni
Mar 02, 2023 04:37Kikosi kamili cha makomando watajika wa jeshi la Anga la Israel kwa jina la " Sheldag" kimetangaza kuwa hakipo tayari kutekeleza majukumu yake ya kijeshi.
-
Katibu Mkuu wa UN atembelea Iraq
Mar 02, 2023 01:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres Jumatano ameanza ziara nchini Iraq lengo likiwa ni kusisitiza mshikamano na kuunga mkono juhudu za nchi za kuleta amani, haki za binadamu na maendeleo endelevu.
-
Bin Salman sasa ataka majaji 10 wa Saudi Arabia waliokuwa 'wapambe' wake wanyongwe
Feb 28, 2023 22:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Demokrasia Sasa kwa Ulimwengu wa Waarabu, DAWN (Democracy for the Arab World Now) limefichua katika ripoti yake kwamba mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ametaka washtakiwe na kuhukumiwa kunyongwa majaji kumi, ambao ni wapambe wake waliotoa kwa amri yake hukumu za kunyongwa raia kadhaa wa nchi hiyo.