-
Wanamuqawama wa Palestina wajibu mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni Ghaza
Feb 02, 2023 04:37Utawala wa Kizayuni leo asubuhi umeyashambulia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Ghaza ambapo hujuma hiyo imekabiliwa na jibu la makundi ya wanamuqawama wa Palestina ambao wamevurumisha maroketi kadhaa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kandokando ya Ukanda wa Ghaza.
-
Qatar: Tunaendelea kufanya juhudi ili kufikiwa mapatano kati ya Iran na Magharibi
Feb 02, 2023 04:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesisitiza kuendelezwa juhudi ili kukurubisha mitazamo kati ya Iran na nchi za Magharibi katika mazungumo ya nyuklia.
-
Hizbullah: Kuvunjiwa heshima Qur'ani ni ishara ya kufilisika kimaadili kwa nchi za Magharibi
Feb 01, 2023 08:37Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika baadhi ya nchi za Magharibi, vitendo vya kigaidi na kuuawa Waislamu huko Pakistan ni ishara ya kufilisika nchi za Magharibi.
-
Baraza la Usalama lalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu msikitini Pakistan
Feb 01, 2023 04:02Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu msikitini Pakistan.
-
UN: Wapalestina milioni mbili Gaza wanateseka kutokana na mzingiro wa Israel
Feb 01, 2023 01:23Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema zaidi ya Wapalestina milioni mbili huko Gaza wanateseka kutokana na mzingiro wa miaka 16 wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
-
Mtafiti wa Kizayuni: Israel inamomonyoka ndani kwa ndani
Jan 31, 2023 08:04Mtafiti wa Kizayuni Profesa Daniel Kahneman amekosoa hatua za baraza la mawaziri la mrengo wa kulia wenye misimamo ya kufurutu mpaka linaloongozwa na waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu hususan kuhusiana na mageuzi ya Idara ya mahakama na kusema kuwa, hatua hizo zinamaanisha kumomonyoka ndani kwa ndani na kumalizika utawala wa Kizayuni.
-
HAMAS yatwaa droni ya kijasusi ya utawala haramu wa Israel
Jan 31, 2023 03:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imefanikiwa kutwaa ndege isiyo na rubani ya kijasusi ya utawala haramu wa Israel iliyokuwa ikiruka katika anga ya Ukanda wa Gaza.
-
Jumla ya Wapalestina 35 wameuliwa shahidi na Israel mwezi Januari pekee
Jan 30, 2023 22:53Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi Januari mwaka huu ndio mwezi uliojaa umwagaji damu mkubwa zaidi katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwaua shahidi Wapalestina 38.
-
Indhari ya UN kuhusu baa la njaa ambalo halijawahi kushuhudiwa lililoikumba Syria
Jan 30, 2023 22:50Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, njaa nchini Syria imefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Jihadul-Islami: Wapalestina hawakhofu walowezi wa Kizayuni kuzatitiwa kwa silaha
Jan 29, 2023 23:40Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa, Wapalestina hawaogopi wala hawaingiwi na hofu yoyote kwa sababu ya walowezi wa Kizayuni kuzatitiwa kwa silaha.