-
Unicef: Ugonjwa wa surua wauwa watoto 15 Yemen
Dec 11, 2022 04:26Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limetangaza kuwa katika kipindi cha miezi saba iliyopita watoto 15 wa kiyemen wameaga dunia kwa surua(Measles).
-
Hizbullah yahimiza kuchaguliwa rais mpya wa Lebanon haraka iwezekanavyo
Dec 10, 2022 22:58Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Shekhe Naeem Qassim ametilia mkazo ulazima wa kuchaguliwa rais mpya wa nchi hiyo haraka iwezekanavyo.
-
Safari ya Rais wa China nchini Saudi Arabia
Dec 10, 2022 22:58Rais Xi Jin Ping wa China ambaye amefanya ziara nchini Saudi Arabia mbali na kusaini mapatano ya pamoja ya ushirikiano wa kimkakati, amesaini pia hati 34 za mapatano kwa lengo la kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na uwekezaji kati ya nchi mbili.
-
Serikali ya Jordan yaionya Israel kuhusiana na hujuma jinai zake dhidi ya Wapalestina
Dec 10, 2022 09:24Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jordan imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kuendelea hujuma na mashambulio dhidi ya miji mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Muungano wa Februari 14: Utawala wa Aal Khalifa Bahrain umetengwa
Dec 10, 2022 09:23Muungano wa Februari 14 ambayo ni harakati ya upinzani nchini Bahrain umetangaza kuwa, utawala wa Aal Khalifa umepoteza muungano na waitifajki wake na hiivi sasa uumetangwa kikamilifu.
-
Sababu ya kupelekwa vikosi vya ulinzi wa mpakani vya serikali kuu ya Iraqi katika mipaka ya Iran na Uturuki
Dec 10, 2022 08:15Baada ya Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq kufanya kikao chake tarehe 24 Novemba na kuchukua uamuzi wa kutuma askari walinzi wa mipaka katika maeneo ya mipaka ya Iran na Uturuki' afisa mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Iraq ametoa maelezo mapya kuhusu kutumwa wanajeshi hao katika maeneo hayo tajwa.
-
Mahmoud Abbas: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa taifa la Palestina
Dec 10, 2022 04:39Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa isishirikiane na serikali haramu za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa watu wa Palestina.
-
OIC yalaani jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin
Dec 09, 2022 23:43Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin, mauaji ya Wapalestina wanne na pia hujuma dhidi ya Msikiti wa Ibrahim na shule za Palestina.
-
Xi Jinping: China itaendelea kuunga mkono juhudi za Wapalestina
Dec 09, 2022 22:52Rais Xi Jinping wa China amesema serikali ya Beijing inaunga mkono jitihada za taifa la Palestina zinazolenga kuhuisha haki za msingi za Wapalestina.
-
HAMAS: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na magaidi Wazayuni
Dec 09, 2022 06:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, muqawama ndiyo njia na chaguo poekee la taifa la Palestina katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.