-
HAMAS: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na magaidi Wazayuni
Dec 09, 2022 06:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, muqawama ndiyo njia na chaguo poekee la taifa la Palestina katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ansarullah: Taifa la Yemen halina chaguo jingine isipokuwa mapambano
Dec 09, 2022 06:58Hizam al Asad, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo hawana njia nyingine isipokuwa kuendeleza mapambano ya ukombozi wa ardhi za nchi yao kutoka kwenye makucha ya wavamizi wanaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Azimio la UN: Israel iachane na silaha za nyuklia, ijiunge na NPT
Dec 08, 2022 23:10Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeunga mkono kwa wingi mkubwa mno wa kura azimio la kuutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel uachane na silaha zake za nyuklia na kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT).
-
Kwa mara ya tisa, bunge la Lebanon lashindwa kumchagua rais mpya
Dec 08, 2022 23:10Jaribio la tisa la Bunge la Lebanon kumchagua rais mpya wa nchi hiyo limegonga mwamba.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin
Dec 08, 2022 07:21Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Qatar yaishtaki Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)
Dec 08, 2022 06:17Televisheni ya al Jazeera ya Qatar imewasilisha mashtaka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusu kuuliwa shahidi ripota wake, Shireen Abu Akleh, mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa Israel.
-
Mussa Abu Marzouq: Israel itasambaratika endapo Wamagharibi wataacha kuiunga mkono
Dec 08, 2022 04:28Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, endapo madola ya Magharibi yatasitisha himaya na uungaji mkono wao kwa utawala haramu wa Israel basi siku itakayofuata utawala huo utasambaratika kikamilifu.
-
Marekani yatakiwa ihitimishe uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudia
Dec 08, 2022 04:25Zaidi ya taasisi 100 za kutetea haki za binadamu zimeitaka Marekani ihitimishe himaya na uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kufanya mauaji huko nchini Yemen.
-
Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni
Dec 07, 2022 22:52Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umesema, umetiwa wasiwasi na kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hasa juu ya kudumu na kuendelea kwa operesheni hizo.
-
Saudia yakosolewa kwa kuzima sauti ya adhana kwa ajili ya hafla za ufuska
Dec 07, 2022 22:51Licha ya ukandamizaji wa kimfumo wa utawala wa Saudia dhidi ya wale wanaokosoa mwelekeo wa kisiasa na kijamii wa utawala huo unaolazimishwa kwa watu kwa mabavu, sauti zimeanza kupazwa nchini humo dhidi ya hafla na sherehe za ufuska na ufisadi zinazoandaliwa na kile kinachoitwa Mamlaka Kuu ya Burudani katika Ufalme huo.