-
Makumi ya magaidi wa ISIS wauawa katika operesheni ya jeshi la Syria
Oct 16, 2022 07:14Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Syria kusini mwa nchi.
-
Sababu za kushtadi ukatili na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Oct 16, 2022 06:45Tangu Jumamosi ya tarehe 8 Oktoba, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha tena ukatili na ukandamizaji dhidi ya Wapalestina.
-
OIC yakaribisha taarifa ya mshikamano wa makundi ya Palestina
Oct 16, 2022 03:34Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imekaribisha tangazo la maridhiano na umoja wa kitaifa baina ya makundi ya Palestina, ambalo lilitiwa saini hivi karibuni nchini Algeria.
-
Iraq katika mchakato wa kuvuka mkwamo wa kisiasa wa mwaka mmoja
Oct 15, 2022 23:00Hatimaye bunge la Iraq limemchagua rais mpya wa nchi hiyo Abdul Latif Rashid ambapo rais huyo pia katika hatua yake ya awali amemteua Mohammed Shia al-Sudani kuwa Waziri Mkuu na kumpatia jukumu la kuunda serikali.
-
Saudia yaahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400
Oct 15, 2022 22:54Saudi Arabia imeahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400 kwa ajili ya masuala ya kibinadamu.
-
Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la muqawama wa "Arin al Usud" la Ukingo wa Magharibi
Oct 15, 2022 07:52Kundi jipya la muqawama wa Palestina la 'Arin al Usud (Pango la Simba) limeutia kiwewe kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wajordan waandamana kuwaunga mkono Wapalestina waliozingirwa katika kambi ya Shuafat
Oct 15, 2022 04:21Mamia ya wananchi wa Jordan wameandamana wakiunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na kulaaniwa kuzingirwa Wapalestina katika kambi ya wakimbizi ya Shuafat huko Quds Palestina inayokaliwa kwa mabavu
-
Rais wa Iran aipongeza Iraq kwa kuchagua rais mpya
Oct 14, 2022 04:26Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza serikali na wananchi wa Iraq, kufuatia kuchaguliwa na Bunge, Abdul Latif Rashid kuwa rais mpya wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Askari 18 wa Syria wauawa katika mripuko wa bomu dhidi ya basi
Oct 14, 2022 04:08Kwa akali wanajeshi 18 wa Syria wameuawa katika shambulio la bomu lililolenga basi la maafisa na askari wa jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Msimamo imara wa muqawama wa Lebanon wawapigisha magoti Wazayuni
Oct 13, 2022 23:07Baada ya Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel kukubaliana na mpango wa kuchorwa mipaka ya baharini baina ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika makala chini ya kichwa cha maneno: "Ushindi wa Hizbullah katika Mapatano."