-
Muda wa Kuondolewa Vituo vya Kijeshi vya Marekani Barani Ulaya Umeshaanza Rasmi?
May 03, 2026 09:48Wizara ya vita ya Marekani Pentagon imetangaza rasmi kuwa, itawaondoa wanajeshi 5,000 wa nchi hiyo walioko Ujerumani; uamuzi ambao utatekelezwa ndani ya muda wa miezi sita hadi kumi na mbili ijayo.
-
Namna Marekani Ilivyokosa Kuwa na Mkakati Unaoeleweka Katika Kuamiliana na Iran
May 02, 2026 17:20Naibu waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, Wendy Sherman, amekosoa namna serikali ya Donald Trump inavyosimamia suala la vita dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington haina mkakati unaoeleweka, wala mwenendo wa uchukuaji maamuzi ulioratibika, na kwamba mgogoro wa sasa hautatatuka pasi na kuirejea tena diplomasia.
-
Shambulio la Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Msafara wa Meli wa Sumud; Mijibizo, Jumbe na Matokeo Yake
May 02, 2026 17:01Wanajeshi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameushambulia msafara wa Sumud wa meli za kimataifa na kuzuia kupelekwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Mbunge wa Marekani asema Trump ni mtendajinai
May 02, 2026 10:01Mbunge wa chama cha Democratic wa Marekani amemtaja Donald Trump Rais wa nchi hiyo kuwa ni mhalifu mtendajinai.
-
Uchunguzi mpya wa CNN: Kambi nyingi za Marekani Asia Magharibi ziliharibiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran
May 02, 2026 09:54Uchunguzi mpya wa CNN: Kambi nyingi za Marekani Asia Magharibi ziliharibiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran
-
Mufti Mkuu wa Russia: Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za shetani
May 02, 2026 07:35Mufti Mkuu na Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia ameeleza kuwa, Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na akasema: "Iwapo Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, kambi ya shetani haiwezi kamwe kurudia uchokozi dhidi ya Gaza, Syria, Iran na Lebanon."
-
Mbunge wa Kongresi: Ni mwehu anayedai Marekani imeshinda vita dhidi ya Iran
May 02, 2026 07:25Mwakilishi wa cha cha Democratic wa California katika Kongresi ya Marekani, Sara Jacobs, amemkosoa vikali Waziri wa Vita wa nchi hiyo, Pete Hegseth kwa kutangaza ushindi dhidi ya Iran, akitaja madai hayo kuwa ni udanganyifu.
-
Ripota Maalumu wa UN ataka Israel iwajibishwe kwa kukamata meli za Samood Frotila
May 02, 2026 07:31Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maeneo ya Palestina Yanayokaliwa kwa Mabavu, ametoa wito kwa Ulaya kuchukua hatua za haraka baada ya utawala ghasibu wa Israel kuzuia na kukamata meli za misaada ya kibinadamu zinazojulikana kama Samood Flotilla zilizokuwa zikielekea Ukanda wa Gaza huko Palestina kwa ajili ya kuvunja mzingio wa kikatili wa utawala huo.
-
Mchambuzi wa siasa wa Marekani: Trump ndiye gaidi zaidi duniani
Apr 30, 2026 10:27Mchambuzi wa siasa wa Marekani, Kyle Kolinsky, amesema: Donald Trump, rais wa nchi hii, ndiye gaidi mkubwa zaidi duniani.
-
Kukiri Washirika wa Marekani Kwamba Nchi Hiyo Imeshindwa Katika Vita Dhidi ya Iran
Apr 30, 2026 04:31Baada ya kupita takribani miezi miwili tangu Marekani na utawala wa kizayuni zilipoanzisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, wakosoaji wa sera za kushupalia vita za Trump katika kila pembe ya dunia wanaendelea kukiri na kutamka kwa uwazi zaidi kwamba Marekani imeshindwa katika vita hivyo.