-
UN yaonya: Hatua za Marekani zimepandisha bei ya vyakula duniani
Apr 29, 2026 10:07Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa bei za vyakula duniani zimeongezeka kufuatia hatua za Marekani katika Mlango Bahari wa Hormuz.
-
Putin: Ukraine na washirika wake wamegeukia kwenye ugaidi
Apr 29, 2026 09:54Rais wa Russia amesema: Vikosi vya jeshi la Ukraine na washirika wake haviwezi kuzuia kusonga mbele kwa jeshi la nchi hii na vinapoteza maeneo zaidi kila siku, kwa hivyo vinageukia ugaidi.
-
Russia: Israel inapasa kuondoka katika ardhi ya Lebanon
Apr 29, 2026 09:49Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa Israel haiheshimu kivyovyote majukumu ya askari jeshi wa kulinda amani cha Umoja wa Mataifa.
-
: Afisa wa Marekani: Mfumo wa makombora wa Marekani umepoteza ufanisi wake
Apr 29, 2026 09:36Naibu Waziri wa Vita wa Marekani amekiri kuwa mifumo ya makombora ya nchi hiyo haiwezi kudhamini kiwango cha kutosha cha ulinzi.
-
Migawanyiko yaripotiwa katika utawala wa Trump kuhusu vita dhidi ya Iran
Apr 29, 2026 08:59Makamu wa Rais wa Marekani, J. D. Vance, anaripotiwa kuanza kutilia shaka kimyakimya simulizi ya matumaini inayotolewa na Wizara ya Vita ya Marekani kuhusu vita dhidi ya Iran.
-
Putin: Watu wa Iran wanapigania kwa ushujaa uhuru wao wa kitaifa
Apr 28, 2026 09:20Rais wa Russia, Vladimir Putin, amesema kuwa wananchi wa Iran wanapigana kwa ujasiri na kishujaa kulinda mamlaka yao ya kitaifa. Putin ameyasema hayo mjini Moscow katika mazungumzo yake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi.
-
Je, Marekani Inao Utayari wa Kuachana na Sera na Ndoto Yake ya Kuipigisha Magoti Iran?
Apr 29, 2026 03:38Jake Sullivan, mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani katika serikali ya Joe Biden, ametoa taswira wadhiha na ya wazi ya sifa maalumu za mwenendo wa Iran katika mazungumzo ambayo inaweza kuwa ramani ya njia ya kuinasua serikali ya Marekani kwenye mkwamo ilionasa ndani yake hivi sasa. Sullivan ametoa taswira hiyo katika mahojiano na jarida la Foreign Affairs.
-
Iran kufuta tuzo ya FIFA kwa Trump?
Apr 28, 2026 09:45Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, baada ya kusababisha hasara za kiuchumi na kutia doa hadhi ya kijeshi na kisiasa ya Marekani sasa vimeweka kivuli kizito juu ya kinachoitwa tuzo ya amani ya FIFA kwa rais Donald Trump.
-
New York Times: Trump ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani; Amekwama katika kinamasi cha Iran
Apr 28, 2026 09:37Gazeti la Kimarekani la New York Times limemtaja Donald Trump kuwa ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani.
-
Ufyatuaji Risasi Uliotokea Kwenye Hadhara ya Viongozi Wakuu wa US Utakuwa na Matokeo Gani?
Apr 28, 2026 04:55Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa, mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 31 aitwaye Cole Thomas Allen, ambaye alikuwa amedhamiria kuwashambulia kwa bunduki viongozi wakuu wa Marekani, amejeruhiwa na kutiwa nguvuni. Kwa mara nyingine tena, Marekani imeshuhudia tukio la ufyatuaji risasi kwenye hadhara ya viongozi wake wakuu akiwemo rais wake Donald Trump; mara hii ikiwa ni katika mkutano wa kila mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Ikulu ya nchi hiyo, White House.