-
Uharibifu mkubwa wa makombora ya Iran dhidi ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Haifa
Mar 21, 2026 06:25Operesheni iliyofanikiwa ya makombora ya Iran dhidi ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Haifa imesababisha uharibifu mkubwa katika kiwanda hicho. Kampuni ya Kusafisha Mafuta ya Haifa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) imetangaza kuwa moto katika mitambo ya kusafisha mafuta katika kiwanda hicho kufuatia shambulio la kombora la Iran umesababisha uharibifu wa shekeli milioni sita (sarafu ya utawala wa Kizayuni wa Israel).
-
Beijing yasisitiza kuendelezwa juhudi za usuluhishi ili kurejesha amani Magharibi mwa Asia
Mar 20, 2026 07:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema kuwa mashambulizi yanayoendelea katika eneo la Magharibi mwa Asia yamevuruga usafirishaji wa baharini na kwamba Beijing itaendeleza juhudu za usuluhishi ili kufanikisha usitishaji vita na kukomesha uhasama ili kurejesha amani na utulivu katika eneo la Magharibi mwa Asia haraka iwezekanavyo.
-
Meya wa New York: Ninapinga mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Mar 20, 2026 04:49Zahran Mamdani, meya Mwislamu wa New York, ametuma ujumbe wa salamu za Sikukuu ya Nowruz na mwaka mpya wa Kiirani kwa Wairani na kutangaza kwamba bado anapinga mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
-
Kivuli cha mauti juu ya mawaziri wa Marekani; ndege zisizo na rubani zamuandama Rubio na Hegseth
Mar 20, 2026 04:00Maafisa wa serikali ya Marekani wamegundua ndege zisizo na rubani zisizojulikana juu ya kambi ya kijeshi huko Washington ambako Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Vita wa Marekani wanaishi.
-
Dunia ya Siku Zijazo
Mar 19, 2026 09:10Hebu, jaribu kufumba macho yako na faradhisha kuwa unaishi katika mwaka wa 2050. Kwa mtazamo wako dunia itakuwaje wakati huo? Mgawanyo wa nguvu umebadilika vipi?
-
UN yalaani mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya taasisi za gesi na nishati za Iran
Mar 19, 2026 07:32Naibu Msemaji wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika taasisi za gesi na nishati za Iran pamoja na shambulio katika kisima cha gesi cha Pars-Kusini na katika eneo la Asaluyeh.
-
Indhari ya Gavana wa Benki Kuu ya US kuhusu taathira za kupanda gharama za maisha kutokana na vita na Iran
Mar 19, 2026 07:23Gavana wa Benki Kuu ya Marekani ametahadharisha kuhusu athari mbaya za vita dhidi ya Iran kwa uchumi wa Marekani na kuongezeka gharama za maisha nchini humo.
-
Uhispania : Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni ukiukaji wa sharia za kimataifa
Mar 19, 2026 06:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania, José Manuel Albares, amesisitiza kwamba Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel wameanzisha “vita vya upande mmoja” dhidi ya Iran na huo ni“ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.”
-
Mwigizaji wa Hollywood: Trump ni gaidi na mhalifu
Mar 18, 2026 06:23Mwigizaji maarufu wa Marekani Morgan Freeman ameandika katika ukurasa wake binafsi kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Donald Trump ni gaidi, mbaguzi wa rangi na mhalifu, na kwamba Ikulu ya White House inapaswa kuhesabiwa kuwa ni shirika la kigaidi.
-
Amnesty International: Marekani lazima iwajibishwe kwa uhalifu katika Shule ya Minab nchini Iran
Mar 18, 2026 05:53Shirika la Amnesty International limetangaza kwamba Marekani lazima iwajibishwe kwa mauaji ya wanafunzi katika Shule ya Msingi ya Minab nchini Iran.