-
Ugaidi wa ndani nchini Marekani na mtazamo wa undumakuwili wa Washington
Jan 26, 2026 23:02Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ametaja aina yoyote ya uchochezi au utekelezaji wa vurugu dhidi ya serikali kuwa ni mfano wa ‘ugaidi wa ndani’.
-
Medvedev: Yumkini mataifa mengi zaidi yakaunda silaha za nyuklia
Jan 26, 2026 06:41Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, Dmitry Medvedev amesema kuna uwezekano mataifa zaidi kuzalisha silaha za nyuklia kutokana na kuongezeka ukosefu wa utulivu duniani.
-
Rais wa Shirikisho la Soka Ujerumani: Ni wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia FIFA 2026
Jan 26, 2026 03:31Rais wa Shirikisho la soka la Ujerumani (DFB), amesema ni wakati wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia la 2026 kutokana na hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Moscow: Utekaji nyara wa Maduro ulifanyika kwa uhaini wa ndani
Jan 26, 2026 03:07Balozi wa Russia nchini Venezuela amesema Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, alisalitiwa na vibaraka wa ndani nchini humo.
-
Axios: Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky 'yako karibu sana' kufanyika
Jan 26, 2026 00:19Tovuti ya habari ya Axios imeripoti kuwa Rais wa Russia Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine Vladimir Zelensky wanaweza kukutana kwa mazungumzo ya ana kwa ana muda si mrefu ujao ikiwa mazungumzo yanayoendelea kati ya nchi zao na Marekani yataendelea kufanyika.
-
Dkt. Ghebreyesus: Marekani ilitoa sababu za uongo kujiondoa katika WHO
Jan 26, 2026 00:18Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema, sababu zilizotajwa na Marekani kujiondoa kwenye shirika hilo la afya la Umoja wa Mataifa si za kweli na akatahadharisha kuwa uamuzi huo utaifanya dunia isiwe salama zaidi.
-
Uchunguzi wa Maoni: Wajerumani wengi wanamuona Trump kama tishio kwa nchi yao
Jan 25, 2026 23:07Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa Wajerumani wengi wanamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama tishio kwa nchi yao.
-
Greenland; kulegeza msimamo Trump au kubadilisha mbinu?
Jan 25, 2026 23:04Vyanzo vya habari, vikiwanukuu maafisa wa NATO na Rais wa Marekani Donald Trump, vimeripoti kuanza mazungumzo kati ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Marekani na Denmark kuhusu kisiwa cha Greenland pambizoni mwa mkutano wa Davos.
-
Waandamanaji Stockholm walaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza licha ya usitishaji vita
Jan 25, 2026 07:42Wananchi wa Sweden wamefanya maandamano mengine katika mji mkuu wa nchi hiyo, Stockholm, kulaani mashambulizi ya Israel yanayowalenga Wapalestina katika Ukanda wa Gaza licha ya kufikiwa mapatano ya usitishaji vita.
-
Maandamano yashtadi US baada ya raia mwingine kuuawa Minneapolis
Jan 25, 2026 03:29Maajenti wa serikali kuu ya Marekani wamemuua kwa kumpiga risasi mtu mwingine mjini Minneapolis huku kukiwa na msako mkali dhidi ya wahamiaji, na kushadidisha maandamano na wito mpya kwa Rais Donald Trump kuwaondoa mara moja maafisa hao waliojizatiti kwa silaha katika jiji hilo lililoko katika jimbo la Minnesota.