-
China yaapa kuchukua 'hatua za utumiaji nguvu' sambamba na makamu wa rais wa Taiwan kuwasili Marekani
Aug 13, 2023 14:01China imeahidi kuchukua "hatua madhubuti na za nguvu" kulinda mamlaka yake baada ya Makamu wa Rais wa Taiwan William Lai kuwasili Marekani kwa ziara fupi.
-
Russia: Kujisalimisha ndilo chaguo pekee lililosalia kwa Ukraine
Aug 13, 2023 08:20Naibu wa Baraza la Usalama la Russia amesema kuwa mashambulizi ya Ukraine ya kukabiliana na Russia yanapeleka maelfu ya watu machinjioni, na jambo pekee ambalo Ukraine inahitaji leo ni kusitisha mapigano.
-
Wasweden wavunjia tena heshima Qur'ani Tukufu kwa himaya ya polisi
Aug 13, 2023 08:04Kundi la wabaguzi wa rangi na wenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Denmark limechoma moto tena nakala ya Qur'ani Tukufu mbele ya balozi za Uturuki na Iraq nchini humo.
-
Bei ya mchele duniani imeongezeka, hofu yatanda
Aug 13, 2023 02:46Bei ya mchele imefikia viwango vyake vya juu zaidi kuwahi kushuhudiwa katika takriban kipindi miaka 15 iliyopita huku kukiwa na wasiwasi juu ya ugavi wa kimataifa wa bidhaa hiyo baada ya muuzaji mkuu, India, kuweka vizingiti katika uuzaji nje zao hilo muhimu. Hali mbaya ya hewa katika eneo la Kusini-Mashariki mwa Asia imeathiri zaidi uzalishaji mpunga.
-
China yathibitisha kumtia mbaroni jasusi wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA
Aug 12, 2023 03:57Serikali ya China imethibitisha kupitia taarifa kwamba imemgundua na kumkamata jasusi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA).
-
Sisitizo jingine la China la kutatuliwa mgogoro wa Ukraine kwa njia ya mazungumzo
Aug 12, 2023 02:16Viongozi wa serikali ya China wangali wanasisitiza juu ya suluhisho la kisiasa na kidiplomasia kwa mzozo wa Ukraine.
-
Kujinyonga ndiyo sababu ya pili kuu ya vifo nchini Marekani
Aug 11, 2023 12:01Takwimu za karibuni kabisa zilizotolewa na serikali ya Marekani zinaonesha kuwa, kesi za watu wanaojinyonga na kujikatishia maisha katika nchi hiyo ya Magharibi inayojilabu kuwa na maisha bora duniani, zilivunja rekodi mwaka 2022 kiasi kwamba kujiua kumeshika nafasi ya pili ya sababu za vifo nchini humo.
-
Polisi wa Ecuador: Wauaji wa mgombea urais, Villavicencio, wametokea Colombia
Aug 11, 2023 07:55Polisi wa Ecuador wamesema kwamba wahusika wa mauaji ya mgombea urais, Fernando Villavicencio walitokea Colombia, huku serikali ikiahidi kufuatilia "wapangaji" wa mauaji hayo ambayo yalitikisa nchi hiyo Jumatano wiki hii.
-
Russia yatungua droni 11 za Ukraine karibu na eneo la Crimea
Aug 11, 2023 02:18Russia imesema imefanikiwa kutungua ndege 11 zisizo na rubani za Ukraine karibu na eneo la Crimea, na nyingine mbili zilizokuwa zinaelekea Moscow.
-
Uamuzi wa Russia na Qatar wa kutumia sarafu zao za taifa katika miamala ya kibiashara
Aug 11, 2023 02:17Katika muendelezo wa sera ya kufuta sarafu ya dola katika miamala ya kibiashara kati ya nchi mbalimbali, Qatar pia imeondoa matumizi ya dola katika mabadilishano yake ya kibiashara na Russia, ambapo biashara baina ya nchi hizo mbili, sasa itafanyika kwa kutumia sarafu za taifa.