-
Russia yatungua droni 11 za Ukraine karibu na eneo la Crimea
Aug 11, 2023 02:18Russia imesema imefanikiwa kutungua ndege 11 zisizo na rubani za Ukraine karibu na eneo la Crimea, na nyingine mbili zilizokuwa zinaelekea Moscow.
-
Uamuzi wa Russia na Qatar wa kutumia sarafu zao za taifa katika miamala ya kibiashara
Aug 11, 2023 02:17Katika muendelezo wa sera ya kufuta sarafu ya dola katika miamala ya kibiashara kati ya nchi mbalimbali, Qatar pia imeondoa matumizi ya dola katika mabadilishano yake ya kibiashara na Russia, ambapo biashara baina ya nchi hizo mbili, sasa itafanyika kwa kutumia sarafu za taifa.
-
Mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti yaongezeka Ujerumani
Aug 10, 2023 07:07Ongezeko la mashambulizi dhidi ya misikiti katika nchi za Magharibi hususan Ujerumani na barua za vitisho zinazotumwa kwa Waislamu vinazusha hofu na mfadhaiko katika jamii ya wafuasi wa dini hiyo.
-
Ombi rasmi lililowasilishwa na nchi 23 la kujiunga na jumuiya ya BRICS
Aug 10, 2023 02:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor ametangaza kuwa viongozi wa nchi 23 wameeleza rasmi nia ya nchi zao kujiunga na jumuiya ya BRICS. Mwanadiplomasia huyo amesema: "tumepokea taarifa rasmi za viongozi wa nchi 23 wanaotaka nchi zao kujiunga na BRICS, na tuna maombi yasiyo rasmi pia ya nchi zenye uwezekano wa kujiunga na BRICS".
-
Watu 33 wathibitishwa kufa katika maafa ya mvua kubwa nchinii China
Aug 10, 2023 02:21Watu wasiopungua 33 wamethibitishwa kufa na wengine 18 bado hawajulikani waliko baada ya kushuhudiwa mvua kubwa mjini Beijing China.
-
Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika
Aug 09, 2023 11:40Maseneta karibu 100 wa Ufaransa wamekosoa vikali sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo barani Afrika na kusisitiza kuwa, sera hizo zimechochea misimamo hasi dhidi ya Ufaransa katika nchi za bara hilo.
-
Russia: Marekani ndiyo ya kulaumiwa kwa kutotekelezwa JCPOA
Aug 09, 2023 11:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mustakabali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA upo mikononi mwa Marekani na nchi za Ulaya, huku akitilia shaka azma ya Wamagharibi ya kuyahuisha mapatano hayo kikamilifu.
-
Moscow yasisitiza kuwa itatimiza malengo yake ya kijeshi huko Ukraine
Aug 09, 2023 03:13Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amesema kuwa nchi yake ina vikosi vya jeshi vya kutosha kutekeleza majukumu yote ya operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine.
-
Tofauti zapamba moto baina ya Republican na Democrats kuhusu kesi ya mtoto wa Biden
Aug 09, 2023 03:12Chama cha Republican kimekosoa waziwazi mienendo ya kindumakuwili ya mfumo wa mahakama na Rais wa Merekani kuhusu kesi inayomkabili mtoto wa Joe Biden.
-
Kukosoa Maduro kimya cha viongozi wa Ulaya kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Aug 09, 2023 03:11Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali kuendelea kukaa kimya viongozi wa Ulaya kuhusiana na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.