-
Kukosoa Maduro kimya cha viongozi wa Ulaya kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Aug 09, 2023 03:11Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali kuendelea kukaa kimya viongozi wa Ulaya kuhusiana na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Mwezi Julai wavunja rekodi ya dunia, watajwa kuwa na kiwango cha juu zaidi cha joto
Aug 08, 2023 15:16Mwezi Julai mwaka huu wa 2023 ulivunja rekodi ya mwezi wenye joto kali zaidi kuwahi kutokea duniani, ukiongoza kwa nyuzi joto 0.33 zaidi mbele ya Julai 2019. Haya ni kwa mujibu wa uchunguzi wa Kituo cha Ulaya cha "Copernicus" cha mabadiliko ya hali ya hewa uliyotolewa leo, Jumanne.
-
Rais wa Venezuela awakosoa watawala wa Ulaya kwa kukaa kimya kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani
Aug 08, 2023 04:33Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amewakosoa vikali watawala wa nchi za Ulaya kutokana na ukimya wao kuhusu vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi na Denmark.
-
Japan yaadhimisha miaka 78 ya shambulio la atomiki la Marekani huko Hiroshima
Aug 07, 2023 02:42Japan imefanya kumbukumbu ya shambulio la atomiki dhidi ya mji wa Hiroshima. Ripoti zinaeleza jana Japan ilikumbuka miaka 78 tangu shambulizi la bomu la atomiki lilipoutikisa mji wa Hiroshima.
-
Onyo la Guterres kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia duniani
Aug 06, 2023 10:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia duniani.
-
Wasomi UK: Kushambulia Qur'ani ni uchupaji mipaka
Aug 06, 2023 07:07Wasomi mashuhuri nchini Uingereza wamelaani vitendo vya kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika nchi za Scandinavia na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya uchupaji mipaka vinapaswa kukomeshwa.
-
Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe
Aug 06, 2023 02:29Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amemtuhumu aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump kwamba alikuwa mstari wa mbele katika kupanga njama iliyofeli ya kuuawa kiongozi huyo wa Amerika ya Latini.
-
Vikwazo vya Russia vyaongeza mno idadi ya watu wasio na nyumba mjini London Uingereza
Aug 05, 2023 11:32Takwimu zilizotolewa na Kanali ya Upashaji Habari za Watu Wasio na Nyumba (CHAIN) zinaonesha kuwa, idadi ya watu waliopoteza makazi yao na wasio na nyumba za kudumu za kuishi katika mji mkuu wa Uingereza, London, imeongezeka kwa asilimia 10 ikilinganishwa na muda kama huo mwaka jana.
-
Russia: Wanajeshi 43,000 wa Ukraine wameuawa katika muda wa miezi miwili
Aug 05, 2023 08:09Jeshi la Ukraine limepata pigo kubwa baada ya zaidi ya wanajeshi wake 43,000 kuuawa tangu lilipoanzisha harakati zake dhidi ya ngome za Russia miezi miwili iliyopita.
-
CIA inahariri Wikipedia katika 'vita vya habari'
Aug 05, 2023 07:58Serikali ya Marekani na mashirika yake ya kiusalama likiwemo shirika lake kuu la kijasusi, CIA hutumia mtandao wa Wikipedia kama mojawapo ya zana zake kuendesha "vita vya habari." Hayo yamefichuliwa na mwanzilishi mwenza wa tovuti hiyo, Larry Sanger.