-
Onyo la Guterres kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia duniani
Aug 06, 2023 10:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia duniani.
-
Wasomi UK: Kushambulia Qur'ani ni uchupaji mipaka
Aug 06, 2023 07:07Wasomi mashuhuri nchini Uingereza wamelaani vitendo vya kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika nchi za Scandinavia na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya uchupaji mipaka vinapaswa kukomeshwa.
-
Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe
Aug 06, 2023 02:29Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amemtuhumu aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump kwamba alikuwa mstari wa mbele katika kupanga njama iliyofeli ya kuuawa kiongozi huyo wa Amerika ya Latini.
-
Vikwazo vya Russia vyaongeza mno idadi ya watu wasio na nyumba mjini London Uingereza
Aug 05, 2023 11:32Takwimu zilizotolewa na Kanali ya Upashaji Habari za Watu Wasio na Nyumba (CHAIN) zinaonesha kuwa, idadi ya watu waliopoteza makazi yao na wasio na nyumba za kudumu za kuishi katika mji mkuu wa Uingereza, London, imeongezeka kwa asilimia 10 ikilinganishwa na muda kama huo mwaka jana.
-
Russia: Wanajeshi 43,000 wa Ukraine wameuawa katika muda wa miezi miwili
Aug 05, 2023 08:09Jeshi la Ukraine limepata pigo kubwa baada ya zaidi ya wanajeshi wake 43,000 kuuawa tangu lilipoanzisha harakati zake dhidi ya ngome za Russia miezi miwili iliyopita.
-
CIA inahariri Wikipedia katika 'vita vya habari'
Aug 05, 2023 07:58Serikali ya Marekani na mashirika yake ya kiusalama likiwemo shirika lake kuu la kijasusi, CIA hutumia mtandao wa Wikipedia kama mojawapo ya zana zake kuendesha "vita vya habari." Hayo yamefichuliwa na mwanzilishi mwenza wa tovuti hiyo, Larry Sanger.
-
Sisitizo la Rais wa Brazil la kupigwa teke sarafu ya dola katika biashara za kimataifa
Aug 05, 2023 03:56Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil ametaka kupigwa teke na kuwekwa pembeni matumizi ya sarafu ya dola katika biashara za kimataifa na kutafutwa sarafu nyingine za kuziba nafasi ya sarafu hiyo ya Marekani.
-
Baraza la Maulamaa Pakistan: Kuchoma moto Qur'ani ni ugaidi mkubwa kabisa
Aug 05, 2023 03:54Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kiislamu nchinii Pakistan amelaani vikali tukio jipya la kuchomwa moto kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini Sweden na kueleza kwamba, kitendo hicho ni ugaidi mkubwa kabisa.
-
Pendekezo la Russia: Washington, London na Paris zinapaswa kuilipa fidia Afrika
Aug 04, 2023 12:10Mkuu wa Duma ya Russia amesema kuwa, Marekani, Uingereza na Ufaransa zinapaswa kulipa fidia kwa bara la Afrika kwa uharibifu ambao zimeufanya barani humo.
-
Wawakilishi wa nchi 12 wakutana Moscow kulaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani barani Ulaya
Aug 04, 2023 12:10Mabalozi na wanadiplomasia wa nchi 12 za Kiislamu na zisizo za Kiislamu wamekutana katika kikao kilichoandaliwa na ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia na kulaani vitendo vinavyofanyika katika baadhi ya nchi za Magharibi vya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu.