Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uchaguzi wa Rais wa Iran

  • Al Sirraj aahidi kuandaa mazingira mazuri ya kufanyika uchaguzi Libya

    Al Sirraj aahidi kuandaa mazingira mazuri ya kufanyika uchaguzi Libya

    Sep 25, 2018 13:44

    Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amesema kuwa serikali yake itaandaa mazingira mazuri ya kufanyka uchaguzi licha ya mapigano yanayoendelea sasa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

  • Katumbi: Matokeo ya uchaguzi wa Kongo DR kuyumbisha uthabiti Afrika

    Katumbi: Matokeo ya uchaguzi wa Kongo DR kuyumbisha uthabiti Afrika

    Sep 23, 2018 07:58

    Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye kwa sasa yuko uhamishoni nchini Ubelgiji ametadharisha kuwa, matokeo ya uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwishoni mwa mwaka huenda yakavuruga amani na uthabiti sio tu katika nchi hiyo bali kote barani Afrika.

  • Hillary Clinton awataka wananchi wa Marekani wakabiliane na siasa za udikteta za Donald Trump

    Hillary Clinton awataka wananchi wa Marekani wakabiliane na siasa za udikteta za Donald Trump

    Sep 19, 2018 14:31

    Hillary Clinton, Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametahadharisha kwamba, endapo Rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump ataachwa afanye atakacho na kutokuweko uangalizi na usimamizi juu yake, basi nchi hiyo ijiandae kukabiliwa na matokeo hasi na mabaya.

  • Sarraj: Uchaguzi hauwezi kufanyika Libya katika mazingira ya sasa

    Sarraj: Uchaguzi hauwezi kufanyika Libya katika mazingira ya sasa

    Sep 12, 2018 14:10

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema ni muhali kufanyika uchaguzi nchini humo katika mazingira ya hivi sasa.

  • Tume ya Uchaguzi DRC yamzuia Bemba kugombea urais

    Tume ya Uchaguzi DRC yamzuia Bemba kugombea urais

    Aug 25, 2018 06:45

    Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imemzuia mpinzani Jean-Pierre Bemba kugombea urais katika uchaguzi ujao wa rais.

  • Kambi ya upinzani Mali yapinga matokeo ya uchaguzi wa rais

    Kambi ya upinzani Mali yapinga matokeo ya uchaguzi wa rais

    Aug 17, 2018 04:08

    Kambi ya upinzani nchini Mali imepinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa jana na kumpa ushindi Rais wa nchi hiyo, Ibrahim Boubacar Keïta.

  • Kuteuliwa Ramazani Shadary kumrithi rais Kabila kunaweza kuakhirisha uchaguzi Kongo DR

    Kuteuliwa Ramazani Shadary kumrithi rais Kabila kunaweza kuakhirisha uchaguzi Kongo DR

    Aug 09, 2018 08:02

    Wasiwasi wa kuahirishwa uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka zaidi, siku moja tu baada ya chama tawala cha Rais Joseph Kabila kumtangaza Emmanuel Ramazani Shadary kuwa mbeba bendera ya chama hicho pamoja na vyama tanzu katika uchaguzi huo.

  • Kiongozi wa upinzani Mali alalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais

    Kiongozi wa upinzani Mali alalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais

    Aug 06, 2018 08:05

    Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Mali amelalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais na ameamua kupeleka mashtaka mahakamani.

  • Upinzani, fujo na machafuko yaendelea baada ya uchaguzi nchini Zimbabwe.

    Upinzani, fujo na machafuko yaendelea baada ya uchaguzi nchini Zimbabwe.

    Aug 04, 2018 15:51

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe ameyakataa matokeo ya uchaguzi wa rais akisema ni ya "uongo".

  • Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq

    Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq

    Aug 04, 2018 01:25

    Marekani imeyataarifa makundi mbalimbali ya Iraq kwamba Haider al-Abadi ndiye chaguo la Washington kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Iraq.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Baraza la Usalama na Arab League kukutana kujadili hatua ya Israel ya kuitambua rasmi Somaliland

    Baraza la Usalama na Arab League kukutana kujadili hatua ya Israel ya kuitambua rasmi Somaliland

    7 hours ago
  • Wanawake na watoto ni kati watu zaidi ya 200 waliouawa katika mauaji mapya ya kikabila huko Darfur

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Qatar wajadili matukio ya kikanda hasa hali ya Yemen

  • Putin: Russia itatumia nguvu za jeshi iwapo Ukraine itakwamisha mazungumzo ya amani

  • Jamhuri ya Afrika ya Kati yaendesha uchaguzi mkuu,Touadéra anawania muhula wa tatu wa urais

Chaguo La Mhariri
  • Satelaiti tatu za Iran zarushwa katika anga za mbali, ni hatua  madhubuti ya kiteknolojia

    Satelaiti tatu za Iran zarushwa katika anga za mbali, ni hatua madhubuti ya kiteknolojia

    6 hours ago
  • Iran yalaani shambulio la kigaidi katika msikiti wa Imam Ali (as) nchini Syria

    Iran yalaani shambulio la kigaidi katika msikiti wa Imam Ali (as) nchini Syria

    15 hours ago
  • Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia

    Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia

    15 hours ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Iran yalaani vikali shambulio baya la kigaidi nchini Syria

  • Ayatullah Khamenei: Mashambulizi ya Marekani na Israel yalishindwa kwa hima na ushujaa wa vijana wa Iran

  • Iran: Tumejiandaa kutoa jibu chungu zaidi kwa wavamizi

  • Trump adai: Zelensky hana mpango wowote kwa ajili ya amani ya Ukraine

  • Hamas: Kutambuana kati ya "Israel" na "Somaliland" ni mfano hatari

  • China yaweka vikwazo kwa makampuni ya Marekani kwa sababu ya mauzo ya silaha kwa Taiwan

  • Yemen yasema iko tayari kwa vita, yawataka Waislamu wawe macho

  • Israel yalaaniwa vikali kwa kutambua Somaliland kama nchi huru

  • Putin: Russia itatumia nguvu za jeshi iwapo Ukraine itakwamisha mazungumzo ya amani

  • Somalia yaitaka Israel ifute uamuzi wake wa kuitambua Somaliland

  • Wataalamu: Operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Nigeria inalenga kugawa taifa

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS