-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (4)
Sep 30, 2018 13:04Kusikia kisa cha machungu na mateso ambayo yaliwapata wanawake na watoto wa Nyumba ya Mtume Mtukufu (saw) baada ya kuuawa shahidi Bwana wa Mashahidi, al-Imam Hussein (as) huumiza moyo wa kila mcha-Mungu na mpigania uhuru na utu wa mwanadamu na huenda kikamfanya ajiulize maswali haya muhimu kwamba je, ni kwa nini Imam Hussein (as) aliamua kuchukua na kuandamana na familia yake katika safari ya Karbala?
-
Polisi Nigeria wawashambulia kwa risasi Waislamu katika maombolezo ya Ashura
Sep 22, 2018 03:11Polisi nchini Nigeria wamewafyatulia risasi Waislamu waliokuwa katika maomboleza ya ashura na kujeruhi baadhi yao.
-
Jumamosi, Septemba 22, 2018
Sep 22, 2018 03:03Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Septemba 2018 Miladia.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Tukio la Ashuraa ni somo la kivitendo la jinsi ya kuishi
Sep 21, 2018 13:57Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa tukio la Ashuraa mwaka 61 Hijria katika ardhi ya Karbala ni somo la kivitendo la jinsi ya kuishi na kuongeza kuwa, Imam Hussein bin Ali (as) ni kigezo cha kuigwa na mataifa yote hususan mataifa ya Iran, Iraq, Syria, Yemen na Bahrain na amewafundisha wanadamu wote huru duniani jinsi ya kusimama kidete na kuwa na ari na ghera ya kulinda matukufu na thamani za kibinadamu.
-
Fikra ya Ashura ya watu wa Yemen, ngome imara dhidi ya maadui
Sep 21, 2018 13:17Jana Alkhamisi maelfu ya watu wa Yemen walijitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya Siku ya Ashura katika miji ya Sanaa na Sa'da na kwa mara nyingine tena kusisitiza juu ya udharura wa kusimama imara mbele ya wavamizi na wachokozi.
-
Ashura ya Imam Hussein (as) yautia hofu na kiwewe utawala wa Aal Khalifa, Bahrain
Sep 21, 2018 07:46Mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini Bahrain amesema, hatua za utawala wa Aal Khalifa za kuwakandamiza wananchi na maulamaa ni ishara ya hofu uliyonayo kutokana na mapambano ya Ashura na taathira yake kwa wananchi wanaoupinga utawala huo.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Wayemeni katu hawatasalimu amri kwa adui
Sep 21, 2018 07:29Katibu Mkuu wa Ansarullah ya Yemen, Abdulmalik Badruddin amesema: Licha ya mauaji na jinai zote anazozifanya adui, hatoweza katu kuifanya Yemen isalimu amri.
-
Waombolezaji Iran, duniani wajitokeza kwa wingi kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS
Sep 20, 2018 07:35Mamilioni ya Waislamu katika nchi mbali mbali duniani wamejotokeza kwa mamilioni katika Siku ya Ashura kukumbuka siku alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Leo ni siku ya Ashura ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume, Imam Husain AS
Sep 20, 2018 03:53Alkhamisi ya leo ya tarehe 20 Septemba 2018 Milaadia inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1440 Hijria, siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Husain AS.
-
Alkhamisi tarehe 20 Septemba 2018
Sep 20, 2018 02:37Leo ni Alkhamkisi tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria mwafaka na tarehe 20 Septemba mwaka 2018.