-
Jihadul-Islam, yauonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel
May 16, 2017 03:50Brigedia ya Quds tawi la harakati ya muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina sambamba na kuonyesha picha na video kuhusiana na mwendelezo wa siasa za sasa za utawala huo dhidi ya taifa la Palestina na Ukanda wa Gaza, imetoa indhari kali kwa utawala huo.
-
Waislamu duniani washerehekea siku ya kupewa Utume Nabii Muhammad (saw)
Apr 25, 2017 10:37Waislamu wa maeneo mbalimbali ya dunia wameungana katika kusherehekea siku ya kubaathiwa Mtume Muhammad (saw).
-
Wazayuni waendelea kujenga vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina
Apr 19, 2017 21:56Licha ya dunia nzima kulalamikia vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel za kupora ardhi za Wapalestina na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, lakini viongozi wa Israel wamepasisha mradi wa kujenga nyumba 212 za walowezi wa Kizayuni katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Baytul Muqaddas.
-
Hatua za Wazayuni za kuyavunjia heshima maeneo ya Kiislamu, Palestina
Apr 14, 2017 10:17Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim (as).
-
Wazayuni wakivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Apr 06, 2017 10:19Karibu walowezi 50 wa Kizayuni leo Alkhamisi wamekivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Masjidul Aqswa na kuuvujia heshima msikiti huo mtakatifu kwa ulinzi kamili wa polisi wa Israel.
-
Adiis: Jinai za Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa zimeongezeka
Apr 04, 2017 03:26Waziri wa Waqfu na Masuala ya Kidini wa Palestina amesema jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya uhalifu 99 wa aina mbalimbali dhidi ya Msikiti wa al Aqsa na Haram ya Nabii Ibrahim katika mwezi uliopita wa Machi pekee.
-
Hamas yalaani muswada wa sheria ya Israel wa kuzima adhana Quds
Mar 11, 2017 02:52Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekosoa vikali muswada wa sheria uliopasishwa hivi karibuni na Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, unaopania kupiga marufuku kusomwa adhana katika misikiti ya Quds tukufu.
-
Haaretz: Balozi mtarajiwa wa Marekani huko Israel amechangia kunyakuliwa ardhi za Wapalestina
Mar 07, 2017 12:04Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Haaretz limefichua kuwa balozi mtarajiwa wa Marekani huko Israel, David Friedman kwa miaka mingi amekuwa akitoa kiwango kikubwa cha fedha kwa ajili ya kunyakua ardhi za Waislamu katika eneo al Quds (Jerusalem) na kuwapa makazi huko Wazayuni.
-
Israel yaendeleza jinai zake dhidi ya raia wanaodhulumiwa wa Wapalestina
Mar 07, 2017 00:59Utawala wa Kizayuni wa Israel umewapa amri wanajeshi wake wavamie na kuvunja makumi ya nyumba za wananchi wa Palestina katika kijiji cha Khan al Ahmar, mashariki mwa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Kongamano la Kimataifa la Intifadha ya Palestina Tehran, Kikao Kilichokuwa na Ujumbe kwa Dunia
Mar 01, 2017 05:18Kongamano la Sita la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha au mwamko wa watu wa Palestina lilimalizika Februari 22 hapa Tehran kwa sisitizo la udharura wa kuhakikisha kuwa kadhia ya Palestina inabakia kuwa yenye kipaumbele cha kwanza katika Ulimwengu wa Kiislamu na nchi za Kiarabu.