-
Ruwaza Njema (26)
Sep 29, 2019 06:01Assalaam Alaikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (25)
Sep 29, 2019 05:55Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (24)
Sep 29, 2019 05:50Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (22)
Sep 18, 2019 11:32Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (21)
Sep 18, 2019 11:29Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza sehemu ya 21 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambacho kinakujieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (20)
Sep 18, 2019 11:26Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (19)
Sep 18, 2019 11:23Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tunayo furaha ya kukutana nanyi tena katika kipindi kingine cha Ruwaza Njema.
-
Ruwaza Njema (18)
Sep 18, 2019 11:18Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikikutangazieni kutoka mjini Tehran. Ni matumaini yetu kuwa mko tayari kabisa kutegea sikio sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambacho huchambua Hadithi na Riwaya tofauti kuhusiana na tabia njema na ya kupigiwa mfano ya Mtume wetu Mtukufu Muhammad (saw).
-
Ruwaza Njema (17)
Sep 18, 2019 10:55Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na Karibuni kusikiliza sehemu ya 17 ya kipindi hiki cha Riwaza Njema ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuriya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka Tehran. Kipindi hiki kama mnavyojua huzungumzia maandiko na Hadithi tofauti ambazo huguzia visa mbalimbali vinavyohusiana na tabia njema na ya kuvutia ya Bwana Mtume (saw) ambapo sisi wafausi wake tunapasa kuiga na kuifuata katika maisha yetu ya kila siku.
-
Ruwaza Njema (16)
Sep 18, 2019 10:47Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Hii ni sehemu ya 16 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambacho huzungumzia Hadithi za watukufu mbalimbali na hasa wa Nyumba ya Mtukufu Mtume (saw) kuhusu tabia njema za Mtume huyo ambazo sote Waislamu tunapasa kuziiga na kuzifanyia kazi katika maisha yetu ya kila siku.