-
Njama za Marekani za kuendelea kubakia kijeshi nchini Iraq
Jan 11, 2024 03:44Licha ya serikali ya Iraq kuitaka Marekani iondoe wanajeshi wake nchini humo, lakini Washington imetangaza kuwa, haina ratiba yoyote ya kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na katika eneo yanahitaji mapambano makubwa dhidi ya ugaidi
Jan 11, 2024 00:35Kabul mji mkuu wa Afghanistan Jumanne wiki hii ulikumbwa na shambulio la kigaidi; na kwa mujibu wa Khalid Zadran, msemaji wa Polisi ya Kabul, watu watatu waliuawa na wengine wanne kujeruhiwa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari katika mkoa wa 16 wa kiusalama mjini Kabul.
-
Ugaidi, mbinu ya Israeli ya kukwepa fedheha ya kushindwa kijeshi
Jan 10, 2024 07:41Kushindwa Israel kufikia malengo ya kijeshi katika medani ya vita huko Gaza kumeifanya kugeukia mbinu ya kuwaua kigaidi makamanda wa makundi ya muqawama.
-
Kufichuliwa nafasi ya jasusi wa Uholanzi katika hujumu dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran
Jan 10, 2024 02:34Gazeti la Volkskrant la Uholanzi limefichua kuwa, raia mmoja wa nchi hiyo alikuwa na mchango mkubwa katika operesheni ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuhujumu kituo cha kurutubisha uranium cha Natanz nchini Iran.
-
Indhari ya balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa kwa Marekani kuhusu vitendo vya kichochezi
Jan 09, 2024 23:12Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika kikao cha Baraza la Usalama kuhusu Bahari Nyekundu na kuonya dhidi ya hatua zozote za uchochezi zinazofanywa na Wamarekani.
-
Kuondoka askari wa utawala wa Kizayuni kaskazini mwa Gaza; matokeo ya kusimama kidete muqawama
Jan 09, 2024 05:29Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limethibitisha habari za kuondoka askari wake kutoka kaskazini mwa Gaza, ambapo kuondoka huko ni kukamilishwa kwa mpango wa makundi ya muqawama wa Palestina wa kulishinda jeshi vamizi.
-
Kutofautiana Baraza la Mawaziri la Israel kuhusu kutawaliwa Gaza baada ya vita
Jan 09, 2024 03:09Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni linakabiliwa na mizozo mingi, mojawapo ikiwa ni jinsi ya kuendeshwa masuala ya Gaza baada ya kumalizika vita.
-
Ombi la Italia la kuunda jeshi la Ulaya
Jan 08, 2024 22:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Antonio Tajani, amesema kwamba Umoja wa Ulaya unapaswa kuunda jeshi lake la pamoja ambalo linaweza kuwa na jukumu la kudumisha amani na kuzuia migogoro.
-
Kukwepa uwajibikaji na kimya cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jan 08, 2024 08:41Katika kuendeleza misimamo inayozusha mizozo ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amepuuza jinai zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza na kudai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapaswa kukomesha vitendo vyake vinavyovurunga amani na uthabiti wa eneo.
-
Maandamano dhidi ya Benjamin Netanyahu ndani ya Israel na kimataifa
Jan 08, 2024 03:47Huku utawala haramu wa Israel ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza maandamano dhidi ya Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu yameenea ndani ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).