-
Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani
Dec 12, 2023 23:09Marekani ikiwa ni muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni sio tu kwamba, imetoa uungaji mkono mkubwa wa kisiasa na kisilaha kwa utawala huo wakati wa vita vya Gaza, bali mfumo tawala wa Washington pia umeongeza mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Wapalestina na wakosoaji wa jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Pakistan na kupinga ripoti ya Marekani kuhusu ugaidi
Dec 12, 2023 05:53Ikionyesha masikitiko yake juu ya ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu ugaidi, Pakistan imeyaona madai ya Washington dhidi ya Islamabad kuwa ni upotoshaji wa ukweli na uhalisia wa mambo.
-
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS yaitambua rasmi serikali ya Niger
Dec 12, 2023 01:56Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS imeitambua rasmi serikali mpya ya Niger ikiwa ni katika kulegeza misimamo yake ya kisiasa na kiuchumi kuhusiana na nchi hiyo.
-
Uhalalishaji Marekani kura yake ya turufu kuhusu mauaji ya kimbari ya Wazayuni huko Gaza
Dec 11, 2023 23:09Licha ya matakwa ya kimataifa ya kusitishwa mara moja vita vya mauaji ya kimbari ya Wazayuni dhidi ya watu wa Gaza, lakini Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni, imepinga maombi hayo na inaendelea kuwasha moto wa vita hivyo vya umwagaji damu kwa kutuma silaha za kila aina huko Gaza.
-
Msimamo imara wa wananchi na vyama vya Uturuki kuhusu uhusiano na Israeli na uwepo wa Marekani huko Incirlik
Dec 11, 2023 07:30Kufuatia kuendelea jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia wa Gaza na uungaji mkono mkubwa wa Marekani kwa jinai hizo, wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano mjini Istanbul na kutoa matakwa mapya kwa serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa sita wa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq
Dec 11, 2023 04:32Desemba 10, 2023, imesadifiana na kumbukumbu ya miaka sita ya ushindi wa Iraq dhidi ya magaidi wa kundi la ISIS au Daesh.
-
Kulaaniwa kimataifa veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la kusitisha vita vya Gaza
Dec 10, 2023 23:18Kitendo cha kinyama na cha kijinai cha Marekani cha kulipigia kura ya veto azimio la kusitisha vita Gaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimeendelea kulaaniwa kimataifa.
-
Takwimu za miezi miwili ya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza
Dec 10, 2023 06:53Takwimu za maafa ya kutisha ya kibinadamu huko Gaza ndizo zilimpelekea Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kutumia kifungu cha 99 cha hati ya Umoja wa Mataifa kujaribu kusimamisha mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na Wazayuni dhidi ya raia wasio na hatia.
-
Radiamali ya China kuhusu kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha vita Gaza
Dec 10, 2023 02:24Zhang Jun, mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa, ameitaja kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kuwa imeweka wazi siasa za kundumakuwili za Washington katika uwanja wa kimataifa.
-
Kuongezeka wimbi la Wazayuni wanaokimbia ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Dec 09, 2023 23:11Ingawa wimbi la kuhajiri Wazayuni kutoka katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kuelekea katika nchi walikotoka lilianza huko nyuma, lakini wimbi hilo limeshika kasi sasa baada ya kuanza vita dhidi ya Gaza.