-
Kura ya veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza
Dec 09, 2023 07:57Marekani, ambayo ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, imepinga azimio lililopendekezwa na UAE la kuanzisha usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Safari ya Rais Vladimir Putin wa Russia katika nchi za Imarati na Saudi Arabia
Dec 09, 2023 02:42Rais Vladimir Putin wa Russia Jumatano alifanya ziara ya siku moja katika nchi za Imarati na Saudi Arabia ambapo alijadiliana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana na uhusiano wa pande mbili na masuala ya kimataifa, vikiwemo vita vya Gaza.
-
Muendelezo wa maonyo ya serikali ya Uturuki kwa Israel
Dec 08, 2023 22:53Huku mzozo wa kiuchumi ukiendelea kushika kasi nchini Uturuki, harakati za shirika la ujasusi la utawala wa kibaguzi wa Israel (Mossad) dhidi ya nchi hiyo na mataifa mengine ya Kiislamu zinaendelea kuongezeka.
-
Kushadidi siasa za serikali ya Uingereza dhidi ya wahajiri
Dec 08, 2023 03:57Kuongezeka maombi ya kutafuta hifadhi katika nchi za Ulaya, kumezifanya nchi hizo ziweka sheria kali za kupokea wahamiaji na wanaotafuta hifadhi, suala ambalo limezidisha mashinikizo dhidi yao.
-
Mzunguko wa mauaji ya kimbari ya Israel kutoka kaskazini hadi kusini mwa Gaza
Dec 07, 2023 23:49Mashambulizi ya mabomu ya fosforasi katika kambi ya Jabalia na mapigano makali kati ya vikosi vya muqawama na wavamizi wa Kizayuni kusini mwa Ukanda wa Gaza ni miongoni mwa habari za hivi punde kuhusiana na Palestina.
-
Barua isiyo ya kawaida ya Guterres kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya Gaza
Dec 07, 2023 08:28Katika hatua isiyo ya kawaida, Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametumia mamlaka aliyopewa kisheria kupitia kifungu cha 99 cha Hati ya Umoja wa Mataifa kulishinikiza Baraza la Usalama la umoja huo lianzishe haraka usitishaji vita huko katika Ukanda wa Gaza.
-
Kujiondoa Niger na Burkina Faso katika kundi la nchi za Sahel ya Afrika
Dec 06, 2023 23:23Nchi mbili za Niger na Burkina Faso zimetangaza kujiondoa katika kundi la nchi za eneo la Sahel ya Afrika kufuatia matukio ya kisiasa katika baadhi ya nchi na kuongezeka tofauti baina ya nchi wanachama wa kundi hilo.
-
Katika mkesha wa kufanyika safari ya pili ya Rais Raisi nchini Russia
Dec 06, 2023 08:14Kesho Alhamisi, Rais Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huku akiwa anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi, ataondoka nchini kuelekea Moscow kwa mwaliko rasmi wa Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Israel kuanzisha tena vita kwailazimisha Yemen kuchukua hatua
Dec 06, 2023 05:30Hatua ya baraza la mawaziri lenye misimamo mikali la Netanyahu kukataa kukubali usitishaji vita wa kudumu kumeigharimu pakubwa Israel sio tu katika kuongeza vifo vya wanajeshi wake katika vita vya nchi kavu, bali pia katika kufungua tena pande mpya za vita dhidi ya utawala huo wa kibaguzi kutoka kusini mwa Lebanon hadi Golan ya Syria na Yemen.
-
Kiongozi wa Mapinduzi asisitiza juu ya kunufaika na uwezo wa pamoja wa Iran na Cuba
Dec 06, 2023 04:27Akizungumza Jumatatu alasiri hapa mjini Tehran na Rais Miguel Diaz-Canel wa Cuba na ujumbe aliofuatana nao, Ayatulla Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria fursa zilizopo katika nchi mbili na kusisitiza haja ya kutumiwa fursa na uwezo huo kwa manufaa ya watu wa nchi mbili.