-
Kufutiwa utawala ghasibu wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika
Feb 08, 2022 05:28Mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 5 na 6 za mwezi huu wa Februari huko Addis Ababa Ethiopia umesitisha hadhi ya utawala ghasibu wa Israel ya kuwa mwanachama mtazamaji katika umoja huo.
-
Kuvunjwa kwa Baraza Kuu la Mahakama la Tunisia, hatua ya kuongeza mamlaka ya Kais Saied
Feb 08, 2022 01:06Rais wa Tunisia Kais Saied amesema ameamua kulivunja Baraza Kuu la Mahakama nchini humo katika hali ya kutatanisha ambayo imeibua wasiwasi kuhusu uhuru wa mahakama.
-
Mazungumzo ya Vienna; Iran inafuatilia mapatano ya aina gani
Feb 07, 2022 14:04Hossein Amir-Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Joseph Borell, ambapo ametoa tathmini kuhusu hali ya hivi sasa ya mazungumzo ya Vienna na kusema, "Tehran imedhamiria kufikia makubaliano, lakini maslahi ya kitaifa ya Iran lazima yadhaminiwe."
-
Malalamiko ya Waziri Mkuu wa Mali dhidi ya uungaji mkono wa Ufaransa kwa magenge ya kigaidi
Feb 06, 2022 23:06Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga, ameishutumu serikali ya kikoloni ya Ufaransa kwa vitendo vyake vilivyo dhidi ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na kusema kuwa, Wafaransa walipaswa kutusaidia, lakini badala yake wanayasaidia magenge ya kigaidi yanayopigania kujitenga na wanazichochea nchi za Ulaya ziiwekee vikwazo nchi ya Mali.
-
Hatua isiyotosha ya Marekani ya kutia kasi mazungumzo ya Vienna
Feb 06, 2022 05:58Baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuondoa baadhi ya vikwazo ambavyo Washington ilikuwa imeiwekea Tehran, Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, hatua hiyo haitoshi. Wizara ya Mambo ya nje ya Iran imesema, inachotakiwa kufanya Marekani ni kuondoa vikwazo vyake vyote vikiwemo vikwazo vya nyuklia.
-
Ushirikiano na misimamo ya pamoja ya China na Russia kuhusu Ukraine
Feb 06, 2022 01:11Wang Yi Waziri wa Mambo ya Nje wa China na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov wameratibu misimamo ya nchi mbili huko Beijing kuhusu kadhia kama za Ukraine, Afghanistan na hali ya mambo katika Peninsula ya Korea.
-
Kujiuzulu viongozi kadhaa wa serikali ya Kihafidhina ya Uingereza na hatima isiyojulikana ya Johnson
Feb 05, 2022 08:31Viongozi watatu wa ngazi ya juu wa serikali ya Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson wamejiuzulu nyadhifa zao kutokana na kuendelea mivutano na mgogoro wa kisiasa unaoigubika serikali ya Uingereza.
-
Hatua mpya ya Biden ya kuibua mvutano Ulaya Mashariki
Feb 05, 2022 01:14Rais Joe Biden wa Marekani Jumatano alikubali kupeleka wanajeshi 3,000 huko Ulaya Mashariki na Ujerumani. Wanajeshi 1,700 wa Marekani wanatarajiwa kutumwa Poland na wanajeshi wengine 1,000 wa Marekani walioko Ujerumani kutumwa Romania. Wanajeshi 3000 zaidi watatumwa kutoka Marekani kwenda Ujerumani.
-
Kukiri kutokuwa na taathira wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran
Feb 04, 2022 05:50Chris Murphy Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani amekiri kuwa vikwazo vya mashinikizo eti ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran havijawa na matunda wala athari yoyote kwa manufaa ya Washington.
-
Kupinga Taliban kuhusu hali ya wananchi wa Afghanistan
Feb 03, 2022 23:05Kundi la Taliban limepinga pakubwa ripoti mbalimbali zilizotolewa kuhusu hali ya mambo inayowakabili wananchi wa Afghanistan na halipo tayari kukubali uhakika wa mambo wa jamii ya nchi hiyo hasa baada ya kundi hilo kuchukua madaraka huko Afghanistan.