-
Kuuliwa shahidi Qasem Soleiman na kasi ya kuporomoka nafasi ya Marekani eneo la Asia Magharibi
Jan 03, 2022 07:46Leo tarehe 3 Januari 2022, inasadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanywa na serikali ya Marekani.
-
Shahidi Qassem Soleimani na kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama Asia Magharibi
Jan 02, 2022 23:02Moja ya maudhui muhimu kuhusiana na Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ni mchango wake katika kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama na mapambano katika eneo la Asia Magharibi.
-
Shauku maradufu ya Azerbaijan ya kupanua ushirikiano na Iran
Jan 02, 2022 09:23Viongozi wa Iran na Jamhuri ya Azerbaijan wakiwa na lengo la kupanua uhusiano wa pande mbili na kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wamo mbioni kupiga hatua kubwa katika uwanja huo.
-
Jukumu la kimataifa la serikali ya Marekani kwa jinai ya mauaji ya Shahidi Soleimani
Jan 02, 2022 00:33Katika kipindi hiki cha kukaribia mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Kamanda Qasem Soleimani na wasaidizi wake katika shambulio la kigaidi la Jeshi la Marekani, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa, serikali ya Marekani "inabeba dhima ya kimataifa" mkabala wa jinai hiyo.
-
Majaribio ya roketi ya kubeba satalaiti ya Simorgh; uongo na propaganda chafu za Wamagharibi
Jan 01, 2022 11:23Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ambazo kwa kila mafanikio yanayopatikana nchini Iran zinajaribu kuibua anga ya propaganda chafu na kupindua ukweli, mara hii zimetumia tukio la kurushwa angani roketi ya kubeba satalaiti ya Simorgh kama kisingizio cha kudai kwamba miradi ya makombora ya Iran ni tishio kwa usalama.
-
Kufanyika mkutano wa umoja wa Kiislamu nchini Pakistan
Dec 31, 2021 23:25Mkutano wa umoja wa Kiislamu umefanyika katika mji wa Lahore, Pakistan kwa kuhudhuriwa na Hujjatul Islam Wal muslimin Hamid Shahriyari, Katibu Mkuu wa Baraza la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu na Sirajul-Haq, Kiongozi wa chama cha Jaamatul-Islami cha Pakistan.
-
Iraq na tatizo sugu la ugaidi
Dec 31, 2021 09:02Japokuwa mtandao wa kigaidi wa DAESH (ISIS) umetokomezwa nchini Iraq, lakini kutokana na sababu tofauti, kitisho cha ugaidi kingali kipo nchini humo.
-
Vifo na wasiwasi wa wakimbizi katika safari ya kuelekea Ulaya
Dec 30, 2021 23:19Huku mizozo ya kisiasa na kiuchumi ikiendelea kupanuka Asia Magharibi na katika nchi nyingi za Afrika, wimbi la watu wanaotafuta hifadhi na wakimbizi barani Ulaya linaendelea kwa kasi kubwa.
-
Indhari kuhusu kurejea udikteta huko Tunisia
Dec 30, 2021 08:06Rached Ghannouchi Spika wa Bunge lililosimamishwa la Tunisia amezitaja hatua na maamuzi yanayochukuliwa na Rais wa nchi hiyo, Kais Saied kuwa ni sawa ni kuhuisha tajiriba iliyofeli na kueleza kuwa, Tunisia inaelekea katika mkondo wa kurejea kwenye udikteta na kutengwa.
-
Athari za Kimataifa za Ukosefu wa Uadilifu katika Ugavi wa Chanjo ya Corona
Dec 30, 2021 00:44Wimbi jipya la maambukizi ya kirusi cha corona aina ya Omicron limeenea katika nchi malimbali duniani huku ubaguzi katika usambazaji wa chanjo na ukosefu wa dawa na vifaa vya matibabu ukiibua tena hofu ya ubaguzi wa rangi wa apartheid katika sekta ya tiba unaofanywa na mataifa tajiri.