-
Zarif: Iran inaweza kuwa mshirika muhimu wa kibiashara wa Ujerumani
Jun 16, 2016 02:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kusababisha madhara katika ushirikiano wa kiuchumi kati ya Iran na Ujerumani na kwamba Iran ikiwa ni nchi iliyopiga hatua inaweza kuwa mshirika muhimu wa kibiashara wa Ujerumani.
-
Waislamu Uganda wataka Hija isimamiwe kimataifa
Jun 14, 2016 04:02Waislamu nchini Uganda wamehimiza kusimamiwa kimataifa amali ya Hija hasa kutokana na vifo vingi vilivyotokea katika msimu wa mwaka jana wa Hija. Mwandishi wa Radio Tehran ametuandalia ripoti ifuatayo kutoka Kampala. Gonga kwenye picha kusikiliza ripoti hiyo
-
Maadhimisho ya mwaka wa 27 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA
Jun 03, 2016 10:23Sehemu ya umati mkubwa wa watu walioshiriki katika kumbukumbu ya mwaka wa 27 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA zilizofanyika Ijumaa, Juni 3, 2016, katika haram ya mwasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kusini mwa Tehran
-
Simba mlipiza kisasi, maisha ya mkufunzi yangelimalizika kama...
Jun 01, 2016 09:08Simba mwenye kisasi cha muda mrefu aamua kumalizia hasira zake kwa mkufunzi wake. Cha ajabu ni kuwa simba jike anaingilia kati kumpoza simba dume, lakini haisaidii kitu. Zaidi ni kuwa simba huyo hamshambulii mkufunzi mwingine, isipokuwa yule yule tu aliye na kisasi naye...
-
Mwanamke aanguka kwenye moto na kuungua wakati wa ibada India
Jun 01, 2016 09:02Mwanamke mmoja aliyekuwa katika ibada ya kupita juu ya moto nchini India aanguka katikati ya makaa ya moto na kuanza kuungua
-
Mbwa anavyomuokoa paka mlevi
Jun 01, 2016 08:41Baadhi ya wakati mnyama anaweza kuvunzwa akaelewa kuliko hata baadhi ya wanadamu. Kipande hiki cha video kinaonesha namna mbwa alivyotekeleza vizuri amri za bwana wake na kumuokoa paka mlevi na kumrejesha nyumbani kwa mbinu ya ajabu...
-
Inaposemwa ajali haina kinga ni kama hivi...
Jun 01, 2016 08:33Hawakukosea Waswahili waliposema ajali haina kinga. Tab'an makusudio ya methali hiyo ni katika ajali kama hii...
-
Sokwe ateka mtoto na kuzua kizaazaa
May 31, 2016 08:55Mtoto atumbukia kwenye eneo la sokwe mtu, sokwe anaamua kumteka na matokeo yake...
-
Ukosefu wa umakini ulivyosababisha ajali mbaya kazini
May 31, 2016 08:49Baadhi ya wakati hata uzoefu unapokosa umakini husababisha maafa kama kinavyoonesha kipande hiki cha video
-
Kuhusu hatua ya Saudia ya kuwazuia Wairani kwenda Hija mwaka huu
May 31, 2016 08:37Serikali ya Saudi Arabia imeweka vizingiti vingi vya kuwazuia wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenda Hija mwaka huu.