-
BBC yapigwa marufuku nchini Burundi + Sauti
Mar 29, 2019 21:35Bodi ya Uandishi wa Habari nchini Burundi imevunja mkataba wake na Shirika la Utanganzaji la Ufalme wa Uingereza BBC, huku shirika la utangazaji la Marekani VOA nalo likiendelea kusimamishwa kwa muda. Burundi inayatuhumu mashirika hayo ya utangazaji kuwa yanakiuka sheria za uandishi nchini humo. Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
-
Bunge nchini Uganda lapasisha bajeti ya kununua ndege ya taifa + Sauti
Mar 29, 2019 21:35Bunge nchini Uganda limepasisha bajeti ya nyongeza ya shilingi bilioni 280 za nchi hiyo kwa ajili ya kununua ndege za taifa ili kulifufua shirika la ndege la nchi hiyo. Kwa maelezo zaidi tunajiunga na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
-
Imam wa zamani wa Masjidul Haram abadilisha msimamo, asema alikosea kuwaita Mashia makafiri + Video
Mar 24, 2019 19:45Adil al Kalbani, imam wa zamani wa Msikiti wa Makka (Masjudul Haram) amebadilisha msimamo wake kuhusiana na Waislamu wa Kishia.
-
Wafuasi wa Fayulu walioshindwa katika uchaguzi DRC wakutana Ubelgiji na kuunda chama kipya + Sauti
Mar 24, 2019 12:15Viongozi wa Jukwaa la Lamuka ambao waliungana kumuunga mkono Martin Fayulu kama mgombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika uchaguzi uliopita na kisha mgombea huyo kushindwa, sasa wamekutana Ubelgiji na kugeuza jukwaa hilo kuwa chama cha kisiasa kikiongozwa na Fayulu. Mwandishi wetu Mosi Mwasi na maelezo zaidi...
-
SAUTI, Waziri Mkuu wa CAR atangaza baraza jipya la mawaziri, kwa kuwashirikisha pia wapinzani na waasi
Mar 23, 2019 12:21Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Firmin Ngrébada, ametangaza baraza jipya la mawaziri ikiwa ni siku moja baada ya kuwasili kutoka mjini Addis Ababa, Ethiopia alikoshiriki mkutano wa mazungumzo ya amani ya nchi yake.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, Benki za Kiislamu TZ, dua ya kuomba mvua na mitandao ya kijamii
Mar 22, 2019 12:26Utekelezwaji wa sheria na kanuni kwa benki za Kiislamu wahimizwa kwa ajili ya kuzifanya benki hizo ziweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Hii ni kwa kuwa benki za Kiislamu zinaonekana kuwa kivutio kwa wateja wengi kutokana na uwajibikaji wake unaoenda sawa na mafundisho ya Kiislamu.
-
Abdullah Gül: Miamala bora ya Waziri Mkuu wa New Zealand inapaswa kuigwa + Video
Mar 22, 2019 09:38Rais wa zamani wa Uturuki, Abdullah Gül amesema kuwa, miamala ya Waziri Mkuu wa New Zealand baada ya shambulio la hivi karibuni la kigaidi nchini humo, inafaa kuigwa na viongozi wengine wa dunia
-
Ajali ya treni yaua na kujeruhi zaidi ya watu 130 DRC
Mar 19, 2019 02:30Ajali ya garimoshi la kusafirishia mizigo iliyotokea siku ya Jumapili katika mkoa wa Kasai wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesababisha kupoteza maisha zaidi ya watu 50 na kujeruhiwa wengine wapatao 80.
-
SAUTI, Jeshi la Uganda: Hatujafunga mlango wa msamaha kwa ajili ya waasi wanaohusika na ghasia nchini
Mar 18, 2019 13:42Jeshi la Uganda limesema kuwa, mlango wa msamahama kwa ajili ya waasi wanaohusika na machafuko nchini humo, bado upo wazi.
-
Gaidi aliyeua makumi msikitini New Zealand ni mfuasi wa sera za Trump + Video
Mar 15, 2019 12:25Gaidi mwenye umri wa miaka 28 kwa jina Brenton Tarrant raia wa Australia ambaye amehusika katika shambulizi dhidi ya msikiti mmoja kati ya miwili iliyoshambuliwa nchini New Zealand amekuwa akijitangaza kuwa ni mfuasi wa sera za Rais Donald Trump wa Marekani.