-
Burundi yakosoa vikali ripoti ya haki za binadamu ya UN+SAUTI
Mar 14, 2019 12:26Serikali ya Burundi imekosoa vikali ripoti mpya iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, iliyobaini kuendelea kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.
-
SAUTI, Mkutano wa viongozi kadhaa wa Afrika waendelea mjini Munyonyo, Uganda. Masuala muhimu yajadiliwa
Mar 13, 2019 13:38Mkutano wa viongozi kadhaa wa Afrika na unaojadili masuala muhimu barani humo, umeendelea leo kwa siku yake ya pili mjini Munyonyo, karibu na jiji la Kampala nchini Uganda.
-
Rais Rouhani azuru nyumba ya Imam Khomeini MA mjini Najaf Iraq + Video
Mar 13, 2019 12:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo jioni ametembelea eneo la kihistoria na kiutamaduni ambalo ni nyumba ya kihistoria ya Imam Khomeini MA mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Najaf Iraq na kukumbuka siku ambazo Imam Khomeini aliishi kwa mashaka katika nyumba hiyo baada ya mfalme wa Iran kumbaidishia Iraq mwanachuoni huyo mwanamapambano.
-
Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157 walioaga dunia katika ajali ya ndege Ethiopia + Sauti
Mar 10, 2019 13:11Raia 32 wa Kenya ni miongoni mwa abiria 149 na wahudumu wanane, waliofariki dunia kwenye ajali ya ndege iliyotokea mapema leo nchini Ethiopia.
-
Tanzania ingali inashuhudia mfumko wa bei za bidhaa+SAUTI
Mar 10, 2019 13:06Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Tanzania, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa bei nchini humo kwa mwaka ulioishia mwezi Februari 2019 umebaki kuwa asilimia 3 kama ilivyokuwa mwaka ulioisha.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika
Mar 10, 2019 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, Marekani inaishinikiza Iraq ikate uhusiano wake na Iran lakini katu wakuu wa Washington hawatafanikiwa katika hilo.
-
EAC yataka viongozi wa nchi wawafikie wananchi wa mashinani +Sauti
Mar 09, 2019 06:57Wanasiasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wametaka wananchi wa mashinani wa nchi za jumuiya hiyo wafikiwe na maamuzi makuu ili thamani yao iweze kulindwa. Mwandishi wetu wa Kampala, Uganda na taarifa zaidi...
-
Mwenyekiti wa Chadema alipoachiliwa huru kwa dhamana Tanzania + Sauti
Mar 07, 2019 15:28Nchini Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe, pamoja na Mbunge Esta Matiko wameachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam, na kutakiwa kuripoti mahakamani kwa mwezi mara moja. Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Dar es Salaam Amar Dachi
-
Burundi yafunga ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini humo + Sauti
Mar 05, 2019 23:09Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imefunga ofisi yake nchini Burundi kufuatia agizo la serikali ya Bujumbura la kufanya hivyo mara moja. Burundi imekuwa ikisuguana na ofisi hiyo ya Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2015 baada ya kuripuka mzozo wa kisiasa nchini humo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa...
-
SAUTI, Uganda yashangazwa na hatua ya Rwanda kuendelea kufunga mipaka yake, Kigali yasema haijafunga
Mar 04, 2019 13:47Hali ya suitafahamu imeendelea kutawala kati ya Rwanda na Uganda kufuatia hatua ya serikali ya Kigali kuendelea kufunga mipaka yake.