-
Mazoezi ya Kijeshi ya "Mtume Mtukufu SAW-12" yafanyika kusini mwa Iran + Video
Dec 22, 2018 12:04Mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la "Mtume Mtukufu SAW-12" yamefanyika kwa mafanikio katika kisiwa cha Qeshm kusini mwa Iran katika Ghuba ya Uajemi.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Dec 21, 2018 23:19Matukio ya Kiislamu wiki hii yamejumuisha masuala mbalimbali ikiwemo kesi ya Masheikh wa Zanzibar wanaoshikiliwa katika korokoro za Tanzania Bara kwa miaka mingi sasa. Harith Subeit na maelezo zaidi...
-
Vyama 6 vya siasa Tanzania vyajadili demokrasia katika mkutano wa Zanzibar+SAUTI
Dec 18, 2018 14:58Viongozi na wanachama waandamizi wa Vyama sita vya siasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekutana visiwani Zanzibar hii leo na kujadili juu ya dira ya taifa.
-
Bakwata yaadhimisha miaka 50 ya kuasisiwa kwake+SAUTI
Dec 18, 2018 13:10Huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA likitimiza miaka 50 tangu kuasisiwa kwake, MUFTI Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar bin Zubeir amewataka waalimu wa elimu ya dini kujifunza elimu zinazoendana na mazingira yao, ikiwemo sayansi na teknolojia.
-
Burundi yakanusha uvumi kuwa inataka kujitoa katika Jumauiya ya Afrika Mashariki + Sauti
Dec 17, 2018 13:43Burundi haijafikiria kujiondoka kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Burundi anayehusika na masuala ya Afrika Mashariki ambaye amesisitiza kuwa, endapo itabaini kuwa sheria zinakiukwa kwa maanufaa ya baadhi ya wanachama huku wengine wakikandamizwa basi nchi hiyo inaweza kufikiria kuchukua hatua hiyo. HAMIDA ISSA na taarifa zaidi akiripoti kutoka Bujumbura
-
Kuakisiwa gwaride la vikosi vya muqawama vya Palestina mjini Ghaza + Picha
Dec 16, 2018 07:38Bridegi za Izuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS jana Jumamosi zilifanya gwaride kubwa lililofana la kijeshi katika Ukanda wa Ghaza.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani kamwe haviwezi kubadilisha siasa za Iran + Video
Dec 16, 2018 04:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani dhidi ya nchi yake vitashindwa tu na kamwe havitoweza kubadilisha siasa za Tehran.
-
Tanzania na Misri zasaini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Stieglers Gorge+SAUTI
Dec 13, 2018 12:31Rais Dkt John Pombe Magufuli wa Tanzania na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, wameshiriki utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Rufiji (Stieglers Gorge).
-
Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lafanyika Zanzibar+SAUTI
Dec 13, 2018 12:28Zanzibar ni mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili. Kongamano hilo la siku mbili limefunguliwa rasmi na Rais Dkt Ali Mohammad Shein, ambaye amesisitiza haja ya kuenziwa magwiji na waandishi wa vitabu vya Kiswahili. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit ana maelezo zaidi......
-
Rais Uhuru Kenyatta aongoza Wakenya katika maadhimisho ya Jamhuri Day + Sauti
Dec 12, 2018 13:27Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Jumatano ya leo amewaongoza Wakenya kuadhimisha miaka 55 ya uhuru wa nchi hiyo (Jamhuri Day) huku maelfu ya raia wakijitokeza katika viwanja mbalimbali nchini humo kuadhimisha siku hii. Saifullah Murtadha mwandishi wetu wa Mombasa ametuandalia ripoti ifuatayo.