-
Brigedia Jenerali Talaei-Nik: Iran inaandaa ‘mambo ya kushangaza’ katika upande wa silaha na mbinu kwa ajili ya vita vya baadaye
Aug 29, 2026 10:50Iran imeandaa silaha, vifaa, teknolojia na mbinu mpya zitakazotumiwa uwanjani iwapo vita vingine vitazuka, huku ikizingatia mkakati wa kumshangaza adui. Haya yameelezwa na Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Masuala ya Lojistiki ya Vikosi vya Ulinzi vya Iran.
-
Changamoto Mpya ya Marekani Kuhusu Iran: Kukimbia Vita au Makubaliano?
Aug 29, 2026 06:46Uchambuzi wa mwenendo na kauli za watawala wa Marekani unaonyesha kuwa Washington bado haijafikia uamuzi wa mwisho kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, huku ikiwa katika hali ya kutojua la kufanya kati ya kuendelea na vita au kufanya mazungumzo.
-
Kiongozi Mkuu: Utatuzi wa masuala ya kiuchumi uko kwenye uzalishaji wa ndani na kufuta sarafu ya dola
Aug 29, 2026 04:46Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojataba Khamenei ameipongeza serikali ya Rais Masoud Pezeshkian kwa kushughulikia mahitaji ya wananchi wakati nchi inakabiliwa na vita vya kichokozi vya Marekani na Israel na mzingiro wa baharini wa Marekani na akahimiza kuongezwa uzalishaji wa ndani na kuifuta sarafu ya dola ya Marekani katika miamala ya kifedha.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya taifa la Iran ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Aug 29, 2026 02:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeonya kwamba kushirikiana na Marekani katika utekelezaji wa vikwazo vya upande mmoja vya nchi hiyo dhidi ya Iran ni kushiriki katika kulazimisha matakwa haramu ya taifa moja kwa mataifa huru na kuvuruga uhusiano wao halali wa kiuchumi na kibiashara, na suala hili lina maana ya kushiriki katika kuharibu kanuni muhimu zaidi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa, yaani "kuheshimu usawa wa mamlaka ya kujitawala" wa nchi zote.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Adui anataka kuleta mifarakano; kila mmoja alinde umoja
Aug 28, 2026 12:20Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza umuhimu wa kuhifadhi umoja katika jamii na kubainisha kwamba, hakuna udhuru wowote unaokubalika wa kuchochea hitilafu na mifarakano.
-
Araghchi: Hali ya Lango Bahari la Hormuz haiwezi kurejea kama ilivyokuwa kabla ya Februari 28
Aug 28, 2026 10:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hali ya sasa ya eneo la Mashariki ya Kati na Mlango-Bahari wa Hormuz ni matokeo ya mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Pezeshkian amwambia Waziri Mkuu wa Qatar : Iran haitasalimu amri mbele ya mashinikizo na vitisho
Aug 28, 2026 03:31Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa haki zote za kisheria za wananchi wa Iran lazima zitambuliwe ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa, akisisitiza kuwa Tehran haitafuti chochote zaidi ya haki zake halali na haitasalimu amri mkabala wa mashinikizo au vitisho.
-
Spika wa Bunge la Iran: Adui atashindwa katika vita kamili vya kiuchumi alivyoanzisha
Aug 28, 2026 03:28Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Nchi iko katika vita kamili ya kiuchumi na tutaona jinsi adui atakavyoshindwa katika vita hivi.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza mjini Tehran
Aug 27, 2026 12:02Mkutano wa 40 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza mjini Tehran, ukijikita zaidi kwenye maono ya Kiongozi marehemu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Shahidi Sayyid Ali Khamenei kuhusu kuimarisha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran yapendekeza 'mkataba wa usalama wa pande zote' miongoni mwa mataifa ya Kiislamu
Aug 27, 2026 11:59Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amependekeza "mkataba wa usalama wa pande zote na kutokuchokozana" miongoni mwa nchi za Kiislamu ili kulinda usalama wa kikanda, hasa katika kipindi hiki ambapo Marekani na Israel zinaendeleza uchokozi wao katika eneo la Asia Magharibi.